Blackberry internet

Blackberry internet

Mkuu hapo kwenye rangi ya Msimbazi sijakupata hata chepe..unamaanisha hiyo BB yako inakuwezesha kujikuta upo Ulaya? au Kumaa.aanisha unaweza kuangalia YOUTUBE Video kupitia BB Service ya Voda?? Kwa Mtandao kama TIGO BB Service haikuwezeshi kuingia hata kwenye Blackberry Application world ukiload kwenye "BlackBerry Application" inaku prompt " BB World App is not available in your country"...

Tafadhali ufafanuzi.
Kwanza unajisajili na BB interprise server ya Voda, baada ya kusajili, unaachana na simu ya BB unanunu Samsung smart phones zinatumia teknolojia ya android ambayo screen yake ni crystal clear huku zikitumia processor ya 1GHz Hummingbird yaani ina speed ya ajabu, uki gusa tuu site inafunguka in a split of a second!.

Samsung hizi ndizo simu pekee nilizoziona zina picha za HD yaani ni clear hakuna mfano, labda kama una dish ya distv halafu unaangalia zile channel za HDTV ndio utanielewa. Internet yake ni bure mpaka U-Tube ni bure, na kila ukiende webside ambao haiko covered na bure, itako alert kuwa ukufungua hapa local chargers apply.

Nimesema utajiona kama uko ulaya nikimaani jinsi wenzetu wa ulaya wanafaidi 1ghz internet speed simu zao zikiwa ni 4G, yaani ukigusa tuu, umeingia na sio kama huku, ukigusa lazima usubirie.

Angalizo: Ulaya hii ya samsung smart phone nimeitumia Desemba yote na januari hii, nikasisitiza bado sijajua kama kutakuwa na tofauti ya bili kati ya BB smart phone na Samsung smart phone kwani mpaka sasa, Voda hawajatuma bili yao ya Dec.
 
kwaiyo unatakiwa uwe na bb na samsung mana unasema usajili bb kisha uiache uchukue samsung
 
mkuu yote unayosema ya messenger yapo kwenye cm nyingi tu na kwa ufanisi zaidi wengi wanachukia bb pamoja na mm kwa ajili ya application zake azipo friendly sana kama nokia,samsung nk ni hayo tu alafu ucsahau me ni dr wa hayo mambo

Tofautisha messengers kama MSN, YAHOO, AOL, ICQ na nyinginezo. Ila blackberry ina mssenger yake inaitwa blackberry messenger. Dr usnitie aibu bwana Nikia haina nokia messenger na wala haina PIN hali kadhalika samsung.
 
Kwanza unajisajili na BB interprise server ya Voda, baada ya kusajili, unaachana na simu ya BB unanunu Samsung smart phones zinatumia teknolojia ya android ambayo screen yake ni crystal clear huku zikitumia processor ya 1GHz Hummingbird yaani ina speed ya ajabu, uki gusa tuu site inafunguka in a split of a second!.

Samsung hizi ndizo simu pekee nilizoziona zina picha za HD yaani ni clear hakuna mfano, labda kama una dish ya distv halafu unaangalia zile channel za HDTV ndio utanielewa. Internet yake ni bure mpaka U-Tube ni bure, na kila ukiende webside ambao haiko covered na bure, itako alert kuwa ukufungua hapa local chargers apply.

Nimesema utajiona kama uko ulaya nikimaani jinsi wenzetu wa ulaya wanafaidi 1ghz internet speed simu zao zikiwa ni 4G, yaani ukigusa tuu, umeingia na sio kama huku, ukigusa lazima usubirie.

Angalizo: Ulaya hii ya samsung smart phone nimeitumia Desemba yote na januari hii, nikasisitiza bado sijajua kama kutakuwa na tofauti ya bili kati ya BB smart phone na Samsung smart phone kwani mpaka sasa, Voda hawajatuma bili yao ya Dec.

Hivi unaelewa mambo unayoyazumgumza aua unadhani ukokwenye siasa hapa

eti samsumsung pekee ndio ina HD .Tafuta kwenye kamusi yako maana ya HD alafu ndio ueleze mambo ya kitaalamu . Zipo simu nyingi tu zina HD. kama ulinunua samusung kwa matangazo kuwa wao ndio wana HD pekee basi wewe ni uliingizwa choo cha kike

Na hii 1ghz internet speed iko nchi gani vile tena kwenye mobile . mhhhh .You must be joking. Kwa ADSL broadband yenyewe sidhani kama ulaya kuna nchi inayo speed hiyo. In short Umedangaya.

Tafuta , soma na uelewe maana ya 4G. ulienda ulaya nchi gani tutafute kwenye net tuone kama hiyo 4g ina 1gz. na uwe mkweli .
 
kwaiyo unatakiwa uwe na bb na samsung mana unasema usajili bb kisha uiache uchukue samsung
kwa vile mwanzo nilisajili BB ya voda, sijui kama wanapokea usajili wa any smart phone, hivyo anaweza kusajili sumsung smart phone ila sijasikia kampuni yoyote ya simu hapa home zikitangaza package ya samsung.
 
Hivi unaelewa mambo unayoyazumgumza aua unadhani ukokwenye siasa hapa

eti samsumsung pekee ndio ina HD .Tafuta kwenye kamusi yako maana ya HD alafu ndio ueleze mambo ya kitaalamu . Zipo simu nyingi tu zina HD. kama ulinunua samusung kwa matangazo kuwa wao ndio wana HD pekee basi wewe ni uliingizwa choo cha kike

Na hii 1ghz internet speed iko nchi gani vile tena kwenye mobile . mhhhh .You must be joking. Kwa ADSL broadband yenyewe sidhani kama ulaya kuna nchi inayo speed hiyo. In short Umedangaya.

Tafuta , soma na uelewe maana ya 4G. ulienda ulaya nchi gani tutafute kwenye net tuone kama hiyo 4g ina 1gz. na uwe mkweli .

Kuna prof mmoja anasema sio vizuri kusema mtu mzima kadanganya.... unamezea tu mie niliona hayo maelezo lakini sikuyajibia ipasavyo ila wewe mkuu umeburuza!:smile-big:
 
Hivi unaelewa mambo unayoyazumgumza aua unadhani ukokwenye siasa hapa

eti samsumsung pekee ndio ina HD .Tafuta kwenye kamusi yako maana ya HD alafu ndio ueleze mambo ya kitaalamu . Zipo simu nyingi tu zina HD. kama ulinunua samusung kwa matangazo kuwa wao ndio wana HD pekee basi wewe ni uliingizwa choo cha kike

Na hii 1ghz internet speed iko nchi gani vile tena kwenye mobile . mhhhh .You must be joking. Kwa ADSL broadband yenyewe sidhani kama ulaya kuna nchi inayo speed hiyo. In short Umedangaya.
Zing mimi sio mtaalamu wa simu, sijasema 1ghz ndio speed ya internet, nimesema simu za samsung zinatumia procesor ya I ghz hivyo naangalia U-Tube kwa speed kama niko ulaya!.

Pia nimesema kwa simu nilizotumia mimi, sio Nokia wala I-phone wana HD TV/ Video, mpaka sasa ni samsung pekee ndio simu zenye HD TV na Video. Kwa kukusaidia zaidi, hapa Tanzania na bara zima la Afrika, hakuna hata TV station moja inayotumia HD TV labda ni Afrika Kusini tuu tena kupitia DSTV na sio kila Station kwenye DSTV ni HD, ziko chake na ili uziona chache hizo, utalazimika kulipia bili full cost ya DSTV.

Kitu nilichojifunza kwako, kwanza wewe ndio hujui HD ni nini, pili hujui chochote kuhusu speed ya processor.
 
Kuna prof mmoja anasema sio vizuri kusema mtu mzima kadanganya.... unamezea tu mie niliona hayo maelezo lakini sikuyajibia ipasavyo ila wewe mkuu umeburuza!:smile-big:
Mohammed Shossi, mimi sio mwana teknolojia, ila ukileta kitu ambacho wengi hawajakizoe, utaishia kuonekana muongo. Yaani mnanitia hasira mpaka natamani niwaone niwaonyeshe demo.

Tatizo hapa ni kwa hawa wataalamu wetu wanaodhani wanajua kila kitu lakini kinapokuja kingine zaidi ya walivyozoea, wanakuona muongo.

Kwa Watanzania wengi, simu babu kubwa kwao ni Nokia na I-phone kwa wenye pesa zao, lakini kwa technolojia ya Android, juu ipo samsung ikifuatiwa na tT mobile, HTC na motorola, hizo nokia hata sijui kama zipo zenye HD.
 
CPU kazi yake ni kwenye simu tu. Kuona picha kwa speed ni kazi Bandwidth na Dowload/Uploadd speed
. Hata kama una simu yenye CPU ya 25O mghz na una download/ upload capacity nzuri basi utakuwa kama uko ulaya kwenye kuona picha za youtube

Pia nimesema kwa simu nilizotumia mimi, sio Nokia wala I-phone wana HD TV/ Video, mpaka sasa ni samsung pekee ndio simu zenye HD TV na Video. Kwa kukusaidia zaidi, hapa Tanzania na bara zima la Afrika, hakuna hata TV station moja inayotumia HD TV labda ni Afrika Kusini tuu tena kupitia DSTV na sio kila Station kwenye DSTV ni HD, ziko chake na ili uziona chache hizo, utalazimika kulipia bili full cost ya DSTV.

Kitu nilichojifunza kwako, kwanza wewe ndio hujui HD ni nini, pili hujui chochote kuhusu speed ya processor.

Mkuuu unapksoea kubali. Inawezekana sijui maana ya neno HD lakini nikienda wikipedia naaambiwa hivi High-definition video - Wikipedia, the free encyclopedia

hata kwenye screen seeting ya laptop yako unaweza kuibadilisha kwenye seettting tofauti tofauti. Kifupi HD ni pxels kuanzia 1,280×720 na kuendelea. Soma hiyo link nimekupa usije ukaibiwa na maneno matamu tu ya watenngenzaji na wafanya biashara.

Sasa ukisema samsung pekee ndio maana nawasi wasi hujui maana ya HD
nimesema simu za samsung zinatumia procesor ya I ghz hivyo naangalia U-Tube kwa speed kama niko ulaya!.
No huja sema hivi uliandika hivi nanukuuu
.......Nimesema utajiona kama uko ulaya nikimaani jinsi wenzetu wa ulaya wanafaidi 1ghz internet speed simu zao zikiwa ni 4G,.........
Ighz internet speed.!!!!!!!!!!! nitakubaliana nawe ukisema umekosea kufafanua.

Sasa na hiyo 4G unaelewa maana yake????? Usishangae watu wanaambiwa kwenye matangazo internet ya Voda/Tigo/Zantel ni 3G lakini quality ya internet inayotolewa ni ya 2G. Soma specification ujue tofauti mkuu.

Ulikuwa ulaya nchi gani mkuu ? Au ulitumia mtandao gani tutafute hapa
 
mimi niko voda. unalipia ile 35 kwa mwezi, unakula unlimited access 24/7 na ukiunganisha simu yako kwenye pc kama modern, speed yake ni kubwa kuliko moderm yoyote.

Ulipia hiyo balck bery service na kubadili simu kwa kutumia Samsung smart phone zake za android au bada, utajiona uko ulaya, ni speed kubwa ya ajabu, unaangalia tv dunia nzima au U-Tube very clear kwa HD ikiwa ndio simu pekee mpaka sasa yenye HD video stream!.
Japo zoezi hilo nimelifanya Desemba yote mpaka sasa bili haijaja, nitaangalia kama kuna tofauti ya bili, kwa kawaida bili huja kabla ya tarehe 10, tunaenda 20 no bili, au labda mashine zao zimetusahau!.

Hapana mkuu kuna Nokia N8 inapiga video za HD licha ya kuzicheza pia ina HDMI port kwa ajili ya kuunganisha kwenda kwenye HD TV.
 
Mohammed Shossi, mimi sio mwana teknolojia, ila ukileta kitu ambacho wengi hawajakizoe, utaishia kuonekana muongo. Yaani mnanitia hasira mpaka natamani niwaone niwaonyeshe demo.

Wewe vipi mkubwa kusafiri kwako viwanja kusikufanye uone unajua sana au unataarifa sahihi kuliko wengine . Unajua maana ya msemo Global Village.???Dunia sasa ni kama kijiji. Wewe ukienda ufaransa na kurudi na kwenda USA na mtu wa manzese anayetumia internet vizuri ni sawa tu .Sana sana utamzidi kubadilisha hali ya hewa tu. All we need is just information.

Wewe unaweza kuwa na blackbery lakini kuna mtu hana blacberry lakini ana information zote za blacbeery kukuzidi wewe. Hii ndio internet hadanganywi mtu hata kama yuko lindi.

Tatizo hapa ni kwa hawa wataalamu wetu wanaodhani wanajua kila kitu lakini kinapokuja kingine zaidi ya walivyozoea, wanakuona muongo.

Wewe ndio unadhani unajua kila kitu. umekossea kitu hutaki kukiri kwamba umekosea. Pure Politician.Kuna mambo umedanganya au kwa lugha nyepesi kama alivypendakeza Mohammed Shossi niseme vidole vimeteleza .

Kwa Watanzania wengi, simu babu kubwa kwao ni Nokia na I-phone kwa wenye pesa zao, lakini kwa technolojia ya Android, juu ipo samsung ikifuatiwa na tT mobile, HTC na motorola, hizo nokia hata sijui kama zipo zenye HD.

Jifunze maana ya HD kwanza . Na kwa kukueleza zaidi Adroid ni OS mojawapo inaytumika katika simu . tena ni open source. Nokia na kampun nyingi za simu zinatumia OS ya Symbian,na WindowsMobile. Pina kuna iOS ni ya Iphone(apple). Haya mambo sio mpaka uende paris, london kujua.

Usidhani kwa kwenda London, DC, Paris hutakiwi kukosolewa na mtu ambaye hajafika hata Nairobi.

Jamani tujenge utamaduni wa kukubali kukosolewa na kukosoana La sivyo hata uko kwenye siasa mtawashangaa kina JK kumbe hata sisi tunaowakosoa tuko hivyo hivyo.
 
A
Hapana mkuu kuna Nokia N8 inapiga video za HD licha ya kuzicheza pia ina HDMI port kwa ajili ya kuunganisha kwenda kwenye HD TV.
Nakubali inawezekana madel ya simu yanatoka kila siku. Mimi nililetewa samsung wave Agost mwaka jana uzuri wa HD video yake sikupata ona popote ila nakubali kumbe nokia nao wamesha employ android.
 
Kuna prof mmoja anasema sio vizuri kusema mtu mzima kadanganya.... unamezea tu mie niliona hayo maelezo lakini sikuyajibia ipasavyo ila wewe mkuu umeburuza!:smile-big:

Basi niseme kakosea ila sasa makosa yanafuatana na ni mengi mmno. Ingekuwa ni issue moja tu sasa i umeona mwenyewe majibu yake. Mimi naomba ajibu ni nchi gani ya ulaya na ni mtandao gani alitumia hata hapa lindi tunaweza kupata data

Alafu tutajua kama kweli ni aliapta 4G
service au aliuziwa jina
 
@mpita njia je umepata msaada mana naona topic imezaa malumbano
 
pole sana mpita njia nimechafua thread yako.lakini tunawajibika tukiona mtu anawapotosha watu tuelimishane.

Maana huyu jamaa aliyefika ulaya na kutumbia kuna 4g na sisi tulipo hapa bongo tunaojua ukweli ulaya service za 4G bado sijui nani ana exposure.

Ingawa ni nje ya mada tuelimishane.Tusije tukawa tunanunua misamiati tu( HD, 4G)
-4G ni nini, requiremnet zake ni zipi. na specification zake. Max Dowload na Upload tofuti yake na 3G ni ipi
 
@mpita njia je umepata msaada mana naona topic imezaa malumbano

Bado naendelea kufuatilia. hata haya yanayojadiliwa yananinufaisha kwa sababu ukiachilia mbali internet kwenye simu, lakini pia kina applications nyingi na vikorokoro vingine ambavyo mi sivijui... hivyo ninyi wajuvi mnapobadiloshana mawazo namna hii na sisi maamuma tunapata uelewa kidogo.
So, msiwe na hofu, endeleeni kudadavua
 
Back
Top Bottom