Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwanza unajisajili na BB interprise server ya Voda, baada ya kusajili, unaachana na simu ya BB unanunu Samsung smart phones zinatumia teknolojia ya android ambayo screen yake ni crystal clear huku zikitumia processor ya 1GHz Hummingbird yaani ina speed ya ajabu, uki gusa tuu site inafunguka in a split of a second!.Mkuu hapo kwenye rangi ya Msimbazi sijakupata hata chepe..unamaanisha hiyo BB yako inakuwezesha kujikuta upo Ulaya? au Kumaa.aanisha unaweza kuangalia YOUTUBE Video kupitia BB Service ya Voda?? Kwa Mtandao kama TIGO BB Service haikuwezeshi kuingia hata kwenye Blackberry Application world ukiload kwenye "BlackBerry Application" inaku prompt " BB World App is not available in your country"...
Tafadhali ufafanuzi.
Samsung hizi ndizo simu pekee nilizoziona zina picha za HD yaani ni clear hakuna mfano, labda kama una dish ya distv halafu unaangalia zile channel za HDTV ndio utanielewa. Internet yake ni bure mpaka U-Tube ni bure, na kila ukiende webside ambao haiko covered na bure, itako alert kuwa ukufungua hapa local chargers apply.
Nimesema utajiona kama uko ulaya nikimaani jinsi wenzetu wa ulaya wanafaidi 1ghz internet speed simu zao zikiwa ni 4G, yaani ukigusa tuu, umeingia na sio kama huku, ukigusa lazima usubirie.
Angalizo: Ulaya hii ya samsung smart phone nimeitumia Desemba yote na januari hii, nikasisitiza bado sijajua kama kutakuwa na tofauti ya bili kati ya BB smart phone na Samsung smart phone kwani mpaka sasa, Voda hawajatuma bili yao ya Dec.