Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alienda kusomea akatunikiwa shahada..huyo lina weupe kapata lini ??
Wewe ni me au ke? Mnasengenya balaahuyo lina weupe kapata lini ??
unataka kuoa au kuolewa ??Wewe ni me au ke? Mnasengenya balaa
Wewe unatakiwa kuolewa hamna mwanaume mbeya shamsa ford aliwatupia ujumbe wenu mnafukunyua faragha za wanaume ngoja aje kuwapima oil mnamuonea wivu wifi yenu lina.unataka kuoa au kuolewa ??
watanzania wana ushamba mwingi sana sijui ni sababu ya elimu duni inayotolewa hapa nchini kwetu..Blackmen una maana ya waafrika au waafrika ambao ni weusiiii...?
ahaha hahahAlienda kusomea akatunikiwa shahada..
Siku hizi ukitaka unasomea tu,...
haya njoo unioeWewe unatakiwa kuolewa hamna mwanaume mbeya shamsa ford aliwatupia ujumbe wenu mnafukunyua faragha za wanaume ngoja aje kuwapima oil mnamuonea wivu wifi yenu lina.