Blacks

Blacks

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Karibuni tufarijiane kidogo black men...
mswazilishi-20180711-0001.jpg
 
Blackmen una maana ya waafrika au waafrika ambao ni weusiiii...?
 
Weupe hawana nguvu mchezoni? Nadhani anamaanisha wazungu.
 
Nakubaliana na shamsa ford wanaume ni wambea kushinda wanawake inakuwaje mwanaume ufukunyue hayo mambo?
 
Ilaaa linah ana kachura flani amazing sana.
 
unataka kuoa au kuolewa ??
Wewe unatakiwa kuolewa hamna mwanaume mbeya shamsa ford aliwatupia ujumbe wenu mnafukunyua faragha za wanaume ngoja aje kuwapima oil mnamuonea wivu wifi yenu lina.
 
Blackmen una maana ya waafrika au waafrika ambao ni weusiiii...?
watanzania wana ushamba mwingi sana sijui ni sababu ya elimu duni inayotolewa hapa nchini kwetu..

mtu anamuita mwenzake black wakati wote ni watu jamii(race) moja, yaani kwamba sababu ya utofauti wa skin complexion.

Eti hapa tanzania mtu ukiwa light skinned tu unaitwa mweupe, halafu ukiwa dark skinned tu unaitwa mweusi wakati wote ni waafrika...

Na kwa taarifa yao tu ni kwamba hata kamas wewe ni chotara wa kizungu na kiafrika ukitoka nje ya bara la afrika bado utachukuliwa kama binadamu mweusi.
 
Huyo ni Mimi kabisaa..weupe peleka kwa mchele!
Mwanaume wa hvyo nampendaa
 
Wewe unatakiwa kuolewa hamna mwanaume mbeya shamsa ford aliwatupia ujumbe wenu mnafukunyua faragha za wanaume ngoja aje kuwapima oil mnamuonea wivu wifi yenu lina.
haya njoo unioe
 
Back
Top Bottom