Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
KWAMBA LINAH NA YEYE AMEAFIKI WANAUME WEUPE HAMNA KITU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na vipi kuhusu waafrika wenzetu hawa wa Tunisia,Maroc,Lybia n.k..wao wakienda ulaya huitwaje?watanzania wana ushamba mwingi sana sijui ni sababu ya elimu duni inayotolewa hapa nchini kwetu..
mtu anamuita mwenzake black wakati wote ni watu jamii(race) moja, yaani kwamba sababu ya utofauti wa skin complexion.
Eti hapa tanzania mtu ukiwa light skinned tu unaitwa mweupe, halafu ukiwa dark skinned tu unaitwa mweusi wakati wote ni waafrika...
Na kwa taarifa yao tu ni kwamba hata kamas wewe ni chotara wa kizungu na kiafrika ukitoka nje ya bara la afrika bado utachukuliwa kama binadamu mweusi.
Eeenh!!Huyo ni Mimi kabisaa..weupe peleka kwa mchele!
Mwanaume wa hvyo nampendaa