Blacks

Blacks

KWAMBA LINAH NA YEYE AMEAFIKI WANAUME WEUPE HAMNA KITU?
 
watanzania wana ushamba mwingi sana sijui ni sababu ya elimu duni inayotolewa hapa nchini kwetu..

mtu anamuita mwenzake black wakati wote ni watu jamii(race) moja, yaani kwamba sababu ya utofauti wa skin complexion.

Eti hapa tanzania mtu ukiwa light skinned tu unaitwa mweupe, halafu ukiwa dark skinned tu unaitwa mweusi wakati wote ni waafrika...

Na kwa taarifa yao tu ni kwamba hata kamas wewe ni chotara wa kizungu na kiafrika ukitoka nje ya bara la afrika bado utachukuliwa kama binadamu mweusi.
Mkuu na vipi kuhusu waafrika wenzetu hawa wa Tunisia,Maroc,Lybia n.k..wao wakienda ulaya huitwaje?
 
Wanawake usipowaelewa utapata tabu sana.

Huyo aliyeponda wanaume weupe(kwa mtazamo wa kitanzania weupe ule wa JK) unaweza kukuta ameshatongoza wanaume weupe wengi mno na wamemkataa tena kwa nyodo.

Hapo anajifariji.
 
Back
Top Bottom