Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
HILO LA WASANII KILA SIKU HATA MIMI NILILIWAZA WANGEFANYA MARA MOJA TU KWA WEEKKuhusu mchana sikubaliani nawewe,hiki kipindi trust me kina bamba usku,mana maniga ndio tunakua free
Kuhusu huyo jamaa ni kwel kapoa sana..ila akiamuaga kuzingua anakuaga poa tu..
Weakness mi naona ni kuleta wasanii kila siku,,naona watawamalza mapema mwisho waanze kuwarudia..wangetenga hata siku tatu tu kwa wiki ndio siku za kuwa na wasanii..sema nini jamaa wana studio kali sana