BLOCK 89 Wasafi FM

BLOCK 89 Wasafi FM

Kuhusu mchana sikubaliani nawewe,hiki kipindi trust me kina bamba usku,mana maniga ndio tunakua free

Kuhusu huyo jamaa ni kwel kapoa sana..ila akiamuaga kuzingua anakuaga poa tu..

Weakness mi naona ni kuleta wasanii kila siku,,naona watawamalza mapema mwisho waanze kuwarudia..wangetenga hata siku tatu tu kwa wiki ndio siku za kuwa na wasanii..sema nini jamaa wana studio kali sana
HILO LA WASANII KILA SIKU HATA MIMI NILILIWAZA WANGEFANYA MARA MOJA TU KWA WEEK
 
Hizo suruali zao ndo zilìvyoshonwa au mvaaji ana tatizo nyonga?
 
leo Mr T Touch ametambulisha wimbo mpya, baada ya kupigwa huyo jamaa anayejiita Mtu Imara anamwambia wimbo wake umefanana na wa sheta "hatufanani", aisee touch kaishiwa pozi furaha ya kutambulisha wimbo wake imekata.
Duh hiyo mbaya sana
 
Trouser Chin ya makalio Bado
Inaendelea
 
Muda wa kipindi ni mzuri sana wala hakuna sababu ya kubadilisha kabisa................
Lakini bado kuna changamoto kubwa jinsi ya kuendesha kipindi hiki kizuri.
Ni lazima kipindi kiwe na kiongozi ambaye anajua kuwapanga wenzie...kiongozi asiwe jina bali matendo...maana pamoja na huyo Jonjinooo kuwa kama kiongozi lakini bado ni vigumu kujua kama kweli ana ongoza kipindi.....maana inaonekana kabisa hakuna mpangilio na kipindi kimekuwa kama cha wauza nguo kariakoo kila muda yeyote anaongea...

Kipindi hicho ni kizuri na mimi nakisikiliza kwakuwa muda naona ni mzuri kabisa na segment zao ni nzuri.... ni lazima wawe na kiongozi na wanao onekana ni kati ya Cat(calypso) au Jonijo lazima mmoja wao awe ana act kama kiongozi...

Wasafi bado wana mambo ya kujifunza kwa radio nyingine washindani kama Clouds na EFM maana wenzao kila kipindi yani kina kiongozi na si lazima uambiwe lakini mjadala unavyo endelea tuu utajua tuu kuwa fulani kwenye kipindi ni kiongozi na unaona kabisa ana control mjadala na kipindi kinapendeza.

Lazima tuwasifu wameanza vizuri sana na mimi nawaona kabisa watafika mbele sana na kitakuwa moja ya kipindi kikubwa sana.....
Hongera zao
 
Radio pekee unayoweza kusikiliza hata mwaka mzima bila kubadili station na bila kujihisi unamiss chochote kwasasa ni CLOUDS FM.

Na Television pekee ni EAST AFRICA TV.

Nyingine ni TAKATAKA tu.
huu ni uongo mwingine
 
Radio pekee unayoweza kusikiliza hata mwaka mzima bila kubadili station na bila kujihisi unamiss chochote kwasasa ni CLOUDS FM.
Na Television pekee ni EAST AFRICA TV.
Nyingine ni TAKATAKA tu.
ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom