Blog ya ujasirimali imenivutia, nawashauri kuitembelea

Blog ya ujasirimali imenivutia, nawashauri kuitembelea

Nakubaliana kwa asilimia kubwa. Hata Dangote Aliko, Tajiri namba moja Afrika, katika "ten commandments on money" amesisitiza kuwa moja ya kitu cha kumvusha mjasiriamali kirahisi ni shughuli za Processing. Dr. Olomi Pia katika "The Enterprise Map of Tanzania' ametafiti na kusema Uchumi wa Tanzania Umekuwa, Ume - double, na mchongo mkuwa ni wadau wanaofanya production na Processing. La msingi ni kuzalisha kwa kujali afya.

Ni kweli Kabisa Mkuu, Kuongeza thamani ndo mpango mzima, Tatizo la wakulima wengi wanauza mazao au wanunuzi nao wananunua na kuuza kama yalivyo hapo hakuna kitu.

Chukulia Mfano mtu anafanya biashara ya mazao ananunua Karanga Dodoma na kuja kuuza Dar, Hapo kama ananunua karanga na bado anakuja kuziuza kama zilivyo hapo hakuna kitu na utaona wafanya biashara wa aina hiyo wanaishi kwa ujanja ujanja tu.

Ujanja wa hao wafanya biashara ni kununua mchele wa Mbeya na kuchanganya na mchele wa Mrogoro au wa Moshi lakini kama mfanya biashara angejikita kununua mazao na kuyaongezea thamani na zani kungekuwa na tija.
 
Asante sana. Umenichekesha na kuniongezea elimu. Umenikumbusha jinsi wakulima wa Pamba (baadhi), wanaongeza michanga, vikokoto, maji ili kuongeza uzito. Hilo hata katika vidagaa. Ukinunua nyanya mabarabarani ni lazima uzimwage chini pia. La sivyo, utauziwa ki-nusu chini majani kibao. Tunasafari ndefu, lakini naona nuru mbale ya biashara Tanzania. Tatizo jingine, wengi walojikita katika biashara ni wale waliokosa fursa ya kusoma. Wasomi wenngi wanaoingia katika biashara kwa nia ya dhati, wanafanikiwa sana.
 
Kuna dalili ya uwezo wako mzuri wa kushirikisha elimu ya ujasirimali kwa umma, na pengine mbinu za kuwafunza uundaji vikundi ni shina la wengi kuweza kusimama na kuhimili vishindo vyenye kuteteresha nguvu za umoja kiuchumi.

Kuhusu soko la maharage huko India, nadhani utafiti uliofanya ni mzuri mno, labda ulikuwa hujajipanga vema pamoja na watu wako kufikia malengo ya walengwa katika biashara hiyo. Hata hivyo uwezo wa kupeleka container moja kila mwezi upo iwapo tu ushirikishwaji wa wengi utafanya na kuwa na source ya nafaka hizo kutoka kwenye vyanzo vijijini ambako kwa mazingira ya sasa ndio wazalishaji wakubwa.

Kwa vile uzalishaji ni wa msimu, hivyo basi ni vema kukawa na ghala la kuhifadhia ingawa kuna gharama zake katika utunzaji wa nafaka. Hiyo itarahizisha export ya container zima kila mwezi huko India. Mkijipanga vizuri na kushirikiana na baadhi ya wadai inawezekana hasa kusaka nafaka hizo kutoka mikoa ya Ruvuma, Njombe, Iringa, Mbeya, Rukwa na Katavi.

Asante kwa wazo zuri. Taasisi yetu inawahamashisha pia watanzania wasijiingize katika masuala yasiyowaletea tija ili yasiwacheleweshe ki-maendeleo. Mfano, ni vizuri kuwaacha wanasiasa wafanye siasa ni sisi wengine tufanye uchumi. Tumewaandikia andiko la mradi baadhi ya watanzania wazalendo walio na moyo wa kusaidia na wameweza kutusaidia kuwafikia watanzania zaidi ya elfu kumi katika kipindi cha mwaka mmoja. Hauwezi kuamini, wameamka na kuchangamka ki-shenzi. Tunawahamasisha walime kilimo cha umwagiliaji na hasa kudumia matone, tunawahamasisha waanze na hatua mmoja, eka moja tu ikibidi. ili kila mmoja kwanza apate elimu ya ubora na kulima ki taalam. Baada ya hapo, tunaandika mradi wa (250 Mil USD) kwa Integrated agro - Business ili kuwaza kutumia out growers katika kulima mazao mbali mbali na kuwatengenezea storage facilities kwa mazao makavu na mabichi. Tutakuawekea mahali pa kukodi mitambo na pembejeo kwa mkopo wa riba ndogo.

Tumejaribu ludewa kupeleke mashine ya shs Milioni 8 na kuwachangisha kidogo waanglikana pale Ludewa Mjini. Uwezo wa mashine hiyo ni kukamua alizeti tani saba kwa siku ambazo zinatokana na kulima eka nne. Hivyo kwa mwaka zinahitajika eka 1200 zilimwe ili kuiwezesha mashine hiyo kuzalisha kibiashara kwa kipindi cha mwaka. Kwa upande wa gharama zinahitajika shs 200mil kulima hadi kuvuna alizeti katika eneo hilo lakini ukikamua mafuta kutoka eka 1200 zilizolimwa kwa shs 200 mil utapata jumla ya mauzo yenye thamani ya shs 1.2 bil. Its very interesting.

Soko la mafuta ya kula nchini na nchi jirani ni kubwa kwa miaka kumi ijayo.
 
Ni kweli Kabisa Mkuu, Kuongeza thamani ndo mpango mzima, Tatizo la wakulima wengi wanauza mazao au wanunuzi nao wananunua na kuuza kama yalivyo hapo hakuna kitu.

Chukulia Mfano mtu anafanya biashara ya mazao ananunua Karanga Dodoma na kuja kuuza Dar, Hapo kama ananunua karanga na bado anakuja kuziuza kama zilivyo hapo hakuna kitu na utaona wafanya biashara wa aina hiyo wanaishi kwa ujanja ujanja tu.

Ujanja wa hao wafanya biashara ni kununua mchele wa Mbeya na kuchanganya na mchele wa Mrogoro au wa Moshi lakini kama mfanya biashara angejikita kununua mazao na kuyaongezea thamani na zani kungekuwa na tija.

Very true! Mpango mzima wa ufanisi katika mapato ni njia ya processing ambayo inaongeza thamani ya products au produce, vinginevyo ni kuishia kuzungusha kitu kile kile bila ufanisi wala faida ya kutosha.
 
Asante kwa wazo zuri. Taasisi yetu inawahamashisha pia watanzania wasijiingize katika masuala yasiyowaletea tija ili yasiwacheleweshe ki-maendeleo. Mfano, ni vizuri kuwaacha wanasiasa wafanye siasa ni sisi wengine tufanye uchumi. Tumewaandikia andiko la mradi baadhi ya watanzania wazalendo walio na moyo wa kusaidia na wameweza kutusaidia kuwafikia watanzania zaidi ya elfu kumi katika kipindi cha mwaka mmoja. Hauwezi kuamini, wameamka na kuchangamka ki-shenzi. Tunawahamasisha walime kilimo cha umwagiliaji na hasa kudumia matone, tunawahamasisha waanze na hatua mmoja, eka moja tu ikibidi. ili kila mmoja kwanza apate elimu ya ubora na kulima ki taalam. Baada ya hapo, tunaandika mradi wa (250 Mil USD) kwa Integrated agro - Business ili kuwaza kutumia out growers katika kulima mazao mbali mbali na kuwatengenezea storage facilities kwa mazao makavu na mabichi. Tutakuawekea mahali pa kukodi mitambo na pembejeo kwa mkopo wa riba ndogo.

Tumejaribu ludewa kupeleke mashine ya shs Milioni 8 na kuwachangisha kidogo waanglikana pale Ludewa Mjini. Uwezo wa mashine hiyo ni kukamua alizeti tani saba kwa siku ambazo zinatokana na kulima eka nne. Hivyo kwa mwaka zinahitajika eka 1200 zilimwe ili kuiwezesha mashine hiyo kuzalisha kibiashara kwa kipindi cha mwaka. Kwa upande wa gharama zinahitajika shs 200mil kulima hadi kuvuna alizeti katika eneo hilo lakini ukikamua mafuta kutoka eka 1200 zilizolimwa kwa shs 200 mil utapata jumla ya mauzo yenye thamani ya shs 1.2 bil. Its very interesting.

Soko la mafuta ya kula nchini na nchi jirani ni kubwa kwa miaka kumi ijayo.

Nimeridhika na upeo wako, kuna kila dalili kwamba umejipanga vizuri na kwa ufanisi mkubwa na ukiweka kando ule uvivu wa sharing katika elimu ya ujasirimali, na kuona uwajibikaji wa waliotangulia kufunguka akili kama wewe ni kuwajengea wengine uwezo wa kufikia malengo kwa kuwapa elimu.

Mpango mzima wa hiyo mashine ya kukamulia alizeti ni ukombozi, kwani badala ya kuagiza mafuta toka mbali yawafikie huko, kumbe wanao uwezo wa kuzalisha alizeti yenye kuwaletea mafuta pengine kwa gharama nafuu kwa kuondoa ukiritimba wa wafanyabiashara wa kati ambao huongeza gharama za bidhaa sababu ya usafirishaji na mengineyo. Huo ni ukombozi murua kabisa. Big up brother! Keep going non stop ever!
 
WvIgYrdS_8Kj0riHvpj0Jw6dB-zQZgqndnfgQyZFPSM7rCV7riAjOayJS486CO__r53fQg8nilLqFiJ3ecRQTO4IPlc1JTf6RUznvaZvfv6A1rIccOoLUGAZYLcBuFoqFHW7CBlyUewH2NvX=w426-h255-p

Kilimo cha mboga zao ambalo wengi wanalifanya lakini kwa kiwango cha kawaida na pengine kukosa mbinu za usindikaji unaoambatana na packaging tayari kwa kutawanywa kwa walaji wa mboga fresh kama mahospitalini, shuleni, migahawa, mahotelini, supermarkets nk.
 
Mahindi+1.png
Mahindi+2.jpg

Ni muhimu kupanda mahindi kwa vipimo mbegu hadi mbegu na mstari hadi mstari

Kilimo bora cha mahindi
Katika ujasiriamali, ni wale tu watakaofanya kazi kwa bidii na kutumia utaalam watafanikiwa. Kilimo cha mahidi kinahitaji kufanyiwa maandalizi mazuri ikiwa ni pamoja na mambo yafuatayo: -

  1. Ni vizuri kupima udongo shambani kabla ya kuanza kilimo. Utambuzi wa hali ya hewa ni muhimu pia kwani kwa wanaotegemea mvua ni vizuri kulima mahindi maeneo ambayo mvua hunyesha kwa uhakika. Namna ya kupima udogo na mahali pa kupima udongo i'MADS itashauri.
  2. Shamba la mahindi hupandwa mbegu umbali wa sentimita 30 kutoka mbegu hadi mbegu.
  3. Umbali wa mstari hadi mstari katika shamba la mahindi huwa ni kati ya sentimeta sitini na 95 kutegemea aina ya mbegu.
  4. Eka moja ya shamba la Mahindi lenye urefu na mapana ya mita 70 kwa 70 linategemewa kutoa au kuoteshwa miche kati ya 54.424 na miche 55,000 kutegemea aina ya mbegu iliyopandwa.
  5. Kwa wale wasio na mashamba makubwa, wana weza kupata kati ya shilingi za kitanzania milioni tano hadi milioni 10 kwa eka moja kutegemea aina ya mbegu, idadi ya mahindi katika kila mche na kama watakuwa wameuza mahindi yakiwa mabichi kwa kati ya shilingi mia moja kwa mhindi mmoja hadi shilingi mia tano kwa mhindi mmoja mbichi.
  6. Mahindi makavu kwa shamba lolote lililolimwa kitaalam linategemewa kutoa mavuno ya magunia ya kiasi cha kilo mia yasiyopungua arubaini.
  7. Ujasiriamali mzuri wowote huanza na maandishi katika karatasi. Ni muhimu kabla ya kulima mahindi mjasiriamali aainishe katika karatasi mambo yafuatayo ili ajue faida au hasara ya kiasi gani ataitarajia; Gharama za kununua au kukodi shamba, gharama za kulima, mbegu, palizi, mbolea, madawa ya wadudu, kuvuna, kuweka katika vifungashio au magunia, usafirishaji, madawa ya kuhifadhia mahindi, gharama za kuhifadhi na gharama za kufikisha sokoni. Hayo yanatakiwa yazingatiwe kabla hata ya kununua au kukodi shamba ili kuwa na uhakika.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu +255 767 11 1173.

UjasiriMali na iMADS
 
Ni kweli Kabisa Mkuu, Kuongeza thamani ndo mpango mzima, Tatizo la wakulima wengi wanauza mazao au wanunuzi nao wananunua na kuuza kama yalivyo hapo hakuna kitu.

Chukulia Mfano mtu anafanya biashara ya mazao ananunua Karanga Dodoma na kuja kuuza Dar, Hapo kama ananunua karanga na bado anakuja kuziuza kama zilivyo hapo hakuna kitu na utaona wafanya biashara wa aina hiyo wanaishi kwa ujanja ujanja tu.

Ujanja wa hao wafanya biashara ni kununua mchele wa Mbeya na kuchanganya na mchele wa Mrogoro au wa Moshi lakini kama mfanya biashara angejikita kununua mazao na kuyaongezea thamani na zani kungekuwa na tija.
Tatizo ni bei ya hiyo mitambo kaka au bei yake ni nafuu?
 
Tatizo ni bei ya hiyo mitambo kaka au bei yake ni nafuu?

Bei ya mitango si lazima kuanza na ile ya viwanda vikubwa, kuna mitango midogomidogo hasa kutoka bara la Asia ambayo wengi wetu wanaweza kumuda kuinunua, maana processing vema inaanza kwa kiwango kidogo ili kupata uzoefu zaidi na kadiri uzoefu na njia zinapokua ndipo na vitendea kazi vinapohitajika kadiri ya mahitaji ya wakati.
 
images[9].jpg images[8].jpg

MAFUTA YA UFUTA NI MAZURI KWA AFYA
[h=3]FAIDA YA MAFUTA YA UFUTA[/h]

Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana matatizo ya kiafya yanayowakabili wajasiriamali na watu wengi kwa ujumla. Katika kusoma soma vitabu na taarifa nyingi katika mtandao nimepata taarifa nzuri ambazo zitawasaidia vijana na wajasiriamali watakaoamua kuwekeza katika kilimo na uzalishaji wa mafuta ya ufuta ambayo yanaheshimika duniani kote. Makala hii imeandikwa kwa kuperuzi vitabu na mitandao na inaweza kuwa nzuri zaidi kama itatumiwa kwa kushirikisha madaktari na wataalam mbali mbali. Ifuatayo ni taarifa niliyoipata katika mitandao na chanzo cha taarifa hii imo kimewekwa hapo chini,
[h=1]Sesame Oil Benefits/FAIDA ZA MAFUTA YA UFUTA[/h]The health benefits of sesame are amazing. In fact, this nutrient dense food is been used for over 5000 years. Many consider sesame oil a medicinal food and its use has grown in popularity. As a matter of fact, sesame oil can provide benefits for your skin, teeth and bones as well as other health benefits.

Maajabu ya kiafya ya mafuta ya Ufuta yanashangaza. Mafuta ya ufuta yenye virutubisho muhimu yamekuwa yakitumika tangu miaka 5000 iliyopita. Matumizi ya mafuta ya ufuta yamekuwa yakiongezeka kwa kasi na umaarufu wake kuongezeka kwa kuwa wengi wanaamini kuwa ni dawa kutokana na unafuu utokanao na maradhi mbali mbali. Kuna ukweli uliothibitika kuwa, mafuta ya ufuta yanasaidia sana matatizo ya ngozi, meno, na mifupa pamoja na kuwa na manufaa mengine mengi.

Nutritional Facts of Sesame Oil/Virutubisho vilivyomo katika mafuta ya ufuta

Nutrients
Amount Per Ounce (28g)
Manganese
0.7 mg, 35% RDA
Copper
0.7 mg, 35% RDA
Calcium
277 mg, 28% RDA
Iron
4.1 mg, 23% RDA
Magnesium
99.7 mg, 25% RDA
Zinc
2 mg, 13% RDA
Fiber
3.9 g, 16% RDA
Thiamine
0.2 mg, 15% RDA
Vitamin B6
0.2 mg, 11% RDA
Phosphorus
179 mg, 18% RDA
Magnesium
4.1 mg, 20% RDA
Zinc
99.7 mg, 25% RDA
Tryptophan
2 mg, 13% RDA
Fiber
93 mg, amino acid
Protein
4.7g

Benefits of Sesame Oil

1. Beautiful and Healthy Skin
Collagen is the structural backbone of healthy skin. The zinc in sesame seeds can boost collagen production, resulting in more elastic and smooth appearing skin. Research also shows that zinc is beneficial in the body's repair processes and can soothe burns as well as other skin conditions.
Mafuta ya ufuta ni muhimu kwa afya ya ngozi. Mafuta ya ufuta yanasaidia pia kupunguza ngozi isiunguzwe na jua.

2. Oral Health
Sesame oil has been shown to reduce plaque and whiten teeth. The technique of swishing sesame oil in the mouth, oil pulling, boosts oral health by decreasing the harmful bacteria (Streptococcus mutants).
Mafuta ya ufuta yanatakatisha meno na kuua bacteria mdomoni

3. Diabetes Prevention

Sesame oil has been shown to decrease both blood pressure and glucose in patients with both diabetes and high blood pressure. The magnesium and other nutrients in sesame seeds were shown by the American Journal of Clinical Nutrition to improve the effectiveness of the oral diabetic treating drug glibenclamide in type 2 diabetic patients.
Mafuta ya ufuta yanapunguza shinikizo la damu na kuwasaidia wagonjwa wa kisukari

4. Reducing Blood Pressure

The rich magnesium content of sesame seeds have been shown to lower blood pressure in hypertensive diabetics.
Mafuta ya ufuta yanasaidia kupunguza shinikizo la damu kwa wagonjwa wa kisukari.

5. Heart Health

Heart disease is partially caused by free radicals and oxidative stress. Sesame seeds contain sesamol, a potent antioxidant and anti-inflammatory compound, known to be beneficial in battling heart disease and atherosclerosis. Research has revealed that sesamol contains of two dozen helpful pharmacologic properties.
Mafuta ya ufuta yanawasaidia pia wagonjwa wa moyo

6. Protection Against Radiation

We are all exposed to radiation whether we realize it or not. UV rays hit us whenever we go outside and there exists a constant level of background radiation wherever you live. Sesame seeds help our bodies protect themselves from DNA damage due to radiation. Several studies on mice exposed to radiation showed that those ingesting sesame seeds (sesamol) had longer lives that those mice that didn't consume sesamol.
Mafuta ya ufuta yanapunguza madhara ya mionzi mibaya kutoka juani na yanasaidia kwa kulinda vinasaba {DNA} mwilini visiharibike kirahisi

7. Cancer Prevention

Sesame seeds are believed to possess anti-cancer properties. Research from the American Journal of Clinical Nutrition reported that magnesium intake decreased the risk of colorectal cancer. Their data noted that for every 100 mg intake of magnesium, the risk of colorectal cancer decreased by approximately 12%.
Mafuta ya ufuta yanasaidia kama kinga kwa kiasi Fulani kwa ugonjwa wa kansa

8. Bone Health

The high content of both zinc and calcium in sesame seeds is a powerful tool to help combat osteoporosis. Deficiency of either of this can increase the risk of hip and spine fractures. Fortunately, taking sesame seeds can boost bone mineral density.
Mafuta ya ufuta yanasaidia kuongeza uimara wa mifupa mwilini

9. Digestive Health

Fiber is a key dietary ingredient for proper digestive health. Sesame seeds are loaded with fiber and vital for improving and maintaining colon health.
Mafuta ya ufuta yanasaidia uyeyushaji wa chakula kwa kiasi Fulani pamoja na kusaidia kulinda utumbo usipate maradhi kirahisi

10. Rheumatoid Arthritis Relief

The copper found in sesame seeds is important for strengthening tissues such as blood vessels and joints. Those suffering from rheumatoid arthritis can experience a decrease in pain and joint swelling due to the anti-inflammatory effects of the copper contained in sesame seeds.
Mafuta ya ufuta yanaimarisha mishipa na misuli mwilini. Hupunguza pia maumivu ya viongo vya mwili

11. Respiratory Health and Asthma Prevention

Magnesium is used to decrease the severe spasm in bronchiole tubes by physicians worldwide. The rich magnesium content of sesame seeds can be helpful for those suffering respiratory problems.
Mafuta ya ufuta yanawasaidia pia wenye matatizo ya kupumua

12. Antiviral and Antibacterial

The power of sesame seed oil has the document for centuries. In Ayurvedic medicine it has much significance and practitioners believe that sesame seed oil has antibacterial and antifungal properties. Holistic medicine practitioners use sesame seed oil to treat strep throat, staphylococcus bacteria and also athlete's foot. It's important to note that the FDA does not recommend sesame seed oil for medicinal purposes and that clinical studies, at this point, are lacking.
13. Other Benefits
Ancient Chinese and Ayurvedic practitioners utilized sesame oil to combat a variety of inflammatory, infectious and cancer causing processes. Sesame oil is believed to relieve pain syndromes such as tendonitis, bursitis, arthritis, colitis, irritable bowel syndrome and GERD. It can also reduce stress, lower cholesterol and detoxify the body.
Tangu enzi za mababu wachina wamekuwa wakitumia mafuta ya ufuta kama kinga kwa maradhi mbali mbali.

Source:
http://www.newhealthguide.org/Sesame-Oil-Benefits.html

Ni vizuri kuwasiliana na madactari kuhusiana na makala hiyo hapo juu. Kwa ushauri tu, mwandishi wa makala haya nimekuwa nikitumia mafuta ya ufuta kwa mwaka sasa. Yamenisaidia sana kupunguza maumivu ya misuli kabla na baada ya mazoezi. Maumivu ya misuli yanapungua nikitumia mafuta ya ufuta kwa kupaka vizuri kiasi cha kutosha.

UKIHITAJI MAFUTA YA UFUTA, Wasiliana na:

Mobile: 255 767 11 1173.
Email:dominickhaule@gmail.com
 
Back
Top Bottom