Blogger apewa kipondo

Blogger apewa kipondo

Hiko ki jestina ndo maana hakinenepi, bora walivyompa kichapo, ila nyie watu wabaya, sasa wembamba ule sijui watakuwa wamempigia wapi, kwel watu wamepinda aiseh
Karibu jamvini mpwa warumi.
 
Last edited by a moderator:
Mmh huu ushabiki wa team utakuja kumcost mtu maisha, kama sio kuleta maafa makubwa.
 
ifike muda WABONGO YUFANYE KAZI HAWA DADA ZETU NDIO MAANA WAMESHIKILIA HATAMU UMALAYA...SASA NDIO UPUUZI GANI HUO MTU UNAPOTEZA MUDA KWA maMBO YA KIPUUZI HEBU TAFTENI HELA ACHENI USHENZI BHANA MNABOAAAAA NA TIMU MAVI MAVI ZENYUU MXIU
 
Hiko ki jestina ndo maana hakinenepi, bora walivyompa kichapo, ila nyie watu wabaya, sasa wembamba ule sijui watakuwa wamempigia wapi, kwel watu wamepinda aiseh

mtu wenyewe mbovuuuuuuu hapo ndo anakaa ulaya angekua vingunguti ka mie sijui ingekuaje!!!
nilikua namuonaga mbuta mtata kumbe mmama huyu kinyonga naskia hata huko mamtoni kashapigwaga huyu kwa mambo zake za ajabuajabu
binamu tuwekee clip hyo
 
Sa na wenyewe kwanini walikua wanamdiscuss mwenzao???

Mazungumzo yao sasa.... Jestina nimempa pole ya kipigo we kaniblokia mbali kule.. kile kipigo kapewa kwa mengi maana watu walikua washampangia Diaspora Blog

hahaha kakublock kisa umetoa pole mmmnh walikuwa wamempania muda sana na ile clip ikawa sababu
 
Hahahahah sipati picha

Sijui walikuwa wanamtia na masingi???

Halafu alivyo hodari wa kuposti habari, hiyo hajaipost....hata polisi nahisi hajaenda


Hiko ki jestina ndo maana hakinenepi, bora walivyompa kichapo, ila nyie watu wabaya, sasa wembamba ule sijui watakuwa wamempigia wapi, kwel watu wamepinda aiseh
 
hivi huyu jestina anaundugu na mama diamond? maana kutwa huwa namuona naye huko insta.
 
Haupo mwenywe,

ngoja niwaeleweshe kuna mmbea na mfitini anapga box mamtoni huko sns blog pia
kina kajala na wenzie walikua wanamteta wema na ye sijui alikuwepo kawarekodi then yale mazungumzo kayarusha mtandaoni ndo wale rafiki za kajala wamemvizia wamempa kichapo cha mbwa mwizi
 
Hahahaaaa,Jestina bibi bomba kapatikana...looh!kimama kimbea hiki...
 
Ndo madhara ya kutumia ID za ukweli kwenye mitandao halafu unaanza kujihusisha na bifu.

Na kama kupigana ndo huwezi basi walau usijihusishe na bifu.
 



.Yule Betina wa UK alieeolewa mke wa 3 amekula kipondo cha maana juzi baada ya kugundulika kuwayeye ndo aliewa rekodi kina Kajala wakimsema Wema na kisha kumrushia Dougiemasta14 hiyo clip.

Sasa unaambiwa watoto wa uswazi walikuwa wanamfatilia sana toka aje bongo. huku na kule wakamvizia akiwa bila mama Diamond( Anajifanya Halima Kimwana na yeye kuwafwata fwata familia ya Diamond)
Mnafki mkubwa , si anajifanya ana blog ya kuweka nyuuz aweke na hii .

Chezea watoto wa mbwa wewe, Kajala shoga zake ni masela wa Kinondoni aalafu analeta umaku.
Ilimhusu nini kuwarekodi kina Kajala? kama sio uchonganishi? Kama kujipendekeza kwa Wema ndo mpaka amrekodi kajala?

Ndo maana hanenepi kwa unafiki.Na bado mpaka tukuvunje kiuno mwaka huu. Kila ukija bongo utakuwa unapokea kipondo[/
 
Back
Top Bottom