Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Acha uongo!period your the biggest liar mxiuuuu..where you thea? Stop lying
Haya we uliekuwepo tuambie nini kilitokea.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo!period your the biggest liar mxiuuuu..where you thea? Stop lying
Taratibu jamaniii asije vunja simu bureee
Hahahaaaa hata Mii namuona pole sana jestina ndo ukome umbea
Hahah kaja na mkwara maskini chezea kichapo
tena atake deep breath!!
aache uchonganishi ndo mana kumbe ashapigwagwa huko uk
haloooooooooooooooooooooowwwee
analeta hashuo za nywele
kubadilika kila zilipo zina jina lake
amenichekesha hadi bas
We nae hebu kafie mbele.... kudundwa umedundwa sana..
Na hivi huna nyama naona walikua wanapiga mifupa tu
Acha uongo!period your the biggest liar mxiuuuu..where you thea? Stop lying
tena atake deep breath!!
aache uchonganishi ndo mana kumbe ashapigwagwa huko uk
haloooooooooooooooooooooowwwee
Hivi alipigwaga na mbuta nanga eeh???
We nae hebu kafie mbele.... kudundwa umedundwa sana..
Na hivi huna nyama naona walikua wanapiga mifupa tu
Hhhhhaaa sasa si muite ndio katukalia kimyaa
Kaubuyu haka katamu.
tena huyo jestina ni mbaya sanaa
lengo lako ni nini nyoka weee
Katamu kwakweli..walau kamenipa kicheko after mnuno wa ushindi wa bibi bomba sitti
Hhhhaaaaa nimecheka sanaaaa,na watu watamuogopa kukaa nae maana watahisi wanarekodiwa hizi simu zimeleta mengii
Hiko ki jestina ndo maana hakinenepi, bora walivyompa kichapo, ila nyie watu wabaya, sasa wembamba ule sijui watakuwa wamempigia wapi, kwel watu wamepinda aiseh
Amekauka ka msaga sumu..roho mbaya...na hio sura ka uji wa juzi kazi kujikandika carolite tuu....yeye kila siku kijipendekeza kwa domo na wema sasa kwa kajala alifikaje....na huyo kajala nae aliongeaje mbele ya huyu bibi bomba hamjui ka ni mnafiki??