Blogger apewa kipondo

Blogger apewa kipondo

ukinisaidia ndo nikunyenyekee ka mtoa pumzi!!
kuteta kawaida kwa wanawake!!
hapa mtata jestina maana kumbe ye anajiskia fakhari wakigombana
ktk hii dunia aamini mama ako mzazi tu
Jestina ni paparazi alikuwa kazini,kajala asingeongea Jestina angepata wapi umbea,Kajala mnafiki mbaya.unamteta vibaya mtu aliekunusuru jela aisee
 
Jestina ni paparazi alikuwa kazini,kajala asingeongea Jestina angepata wapi umbea,Kajala mnafiki mbaya.unamteta vibaya mtu aliekunusuru jela aisee


jestina ingekua first time kupigwa sawa
ukizingua unatetwa tuu
jela kitu gani
 
Jestina ni paparazi alikuwa kazini,kajala asingeongea Jestina angepata wapi umbea,Kajala mnafiki mbaya.unamteta vibaya mtu aliekunusuru jela aisee

Huu wema aliofanyiwa kajala imefika mda wa kuurudisha...hebu amlipe wema izo pesa masimango yaishe
 
Acha uongo!period your the biggest liar mxiuuuu..where you thea? Stop lying

Wewe mama utakufa bure na presha jf na hiko kingereza chako watu humu wamesoma masingular mpaka maplural.Mtafute Le Mutuz akupe dawa ya uvumilivu kwenye mitandao.
 
hivi huyu si alishawahi kula kipondo na mbuta nanga?yaani mtu unatoka ulaya unafika kuingilia maugomvi yasiyokuhusu huna kazi.lakini anaonekana tu mbeambea kamdomo ka chiriku.na roho yake inaonekana mbaya kwa kuangalia tu sura yake.[


About a week ago
 
Aisee karma is a bitch. Huyu Jestina angepigwa kweli kweli. Naona kama vile wamemkuna tu. Mwanamke mbea utafikiri karogwa????. Alipokuwa hapa UK maneno yalikuwa hayaishi, mara hili mara lile. Mtu anaishi London lakini anajua maisha ya kila mtu kila kona ya dunia. Betina mchonganishi sijawahi ona, mbea kama shetani. Sishangai mbuta nanga alimpa kipigo.
Muhogo andazi mbona alikoma, mara wallstreet kamnunulia muhogo andazi nyumba mbezi, mara, wallstreet kamfungulia biashara dar, mara ameenda newyork business class, mara kachomoa mimba ya walstreet, na wewe kumuua mumeo ili uendeleze ufuska? Haloo??????
Betina rudini kwa babako mchungaji mwanamke wewe yatakushinda. Uislamu kisa kula hela za hubuyu???
Timu kajala, wamempapasa tu maana bado ana nguvu kwenda kumtukana shosti yake chaggabarbie.
 
If I may know..what has she done to you for you to hate her this way?be reasonable why so much hate?

[h=2]Awww please stop it Your stupidity, she is a celebrity , she has done something wrong !!thats why we are discussing ....[/h]
 



.Yule Betina wa UK alieeolewa mke wa 3 amekula kipondo cha maana juzi baada ya kugundulika kuwayeye ndo aliewa rekodi kina Kajala wakimsema Wema na kisha kumrushia Dougiemasta14 hiyo clip.

Sasa unaambiwa watoto wa uswazi walikuwa wanamfatilia sana toka aje bongo. huku na kule wakamvizia akiwa bila mama Diamond( Anajifanya Halima Kimwana na yeye kuwafwata fwata familia ya Diamond)
Mnafki mkubwa , si anajifanya ana blog ya kuweka nyuuz aweke na hii .

Chezea watoto wa mbwa wewe, Kajala shoga zake ni masela wa Kinondoni aalafu analeta umaku.
Ilimhusu nini kuwarekodi kina Kajala? kama sio uchonganishi? Kama kujipendekeza kwa Wema ndo mpaka amrekodi kajala?

Ndo maana hanenepi kwa unafiki.Na bado mpaka tukuvunje kiuno mwaka huu. Kila ukija bongo utakuwa unapokea kipondo

Bora amekula kipigo. huyu mwanamke ni noma kwa umbea. Linapenda sana kurekodi watu. Alisema alivyomrekodi Lemutuz akipiga punyento kwenye Skype. Nyambaf,
 
Mmmhh nae huyu kaja saangapi?we kinyang'unya ka umepigwa kweli si utulie tu nawe.

Kaja usiku usiku hahahaaaa....kweli huyu mbea, kavizia watu wamelala ndo kaja kujimwaga kama mwangaaa....

Dinazarde, geniveros mukuje huku mgonjwa alipata nguvu usikuuu....chezea kichapo....
 
Last edited by a moderator:
Bora amekula kipigo. huyu mwanamke ni noma kwa umbea. Linapenda sana kurekodi watu. Alisema alivyomrekodi Lemutuz akipiga punyento kwenye Skype. Nyambaf,

Hahahaaaaaaa....hiyo rekodi ya punyeto ipoooo? Nikiiona ntacheka nife...
Mdada mbaya huyuuu...lol
 
Back
Top Bottom