Blogger apewa kipondo

Hiko ki jestina ndo maana hakinenepi, bora walivyompa kichapo, ila nyie watu wabaya, sasa wembamba ule sijui watakuwa wamempigia wapi, kwel watu wamepinda aiseh
Karibu jamvini mpwa warumi.
 
Last edited by a moderator:
Mmh huu ushabiki wa team utakuja kumcost mtu maisha, kama sio kuleta maafa makubwa.
 
ifike muda WABONGO YUFANYE KAZI HAWA DADA ZETU NDIO MAANA WAMESHIKILIA HATAMU UMALAYA...SASA NDIO UPUUZI GANI HUO MTU UNAPOTEZA MUDA KWA maMBO YA KIPUUZI HEBU TAFTENI HELA ACHENI USHENZI BHANA MNABOAAAAA NA TIMU MAVI MAVI ZENYUU MXIU
 
Hiko ki jestina ndo maana hakinenepi, bora walivyompa kichapo, ila nyie watu wabaya, sasa wembamba ule sijui watakuwa wamempigia wapi, kwel watu wamepinda aiseh

mtu wenyewe mbovuuuuuuu hapo ndo anakaa ulaya angekua vingunguti ka mie sijui ingekuaje!!!
nilikua namuonaga mbuta mtata kumbe mmama huyu kinyonga naskia hata huko mamtoni kashapigwaga huyu kwa mambo zake za ajabuajabu
binamu tuwekee clip hyo
 
Sa na wenyewe kwanini walikua wanamdiscuss mwenzao???

Mazungumzo yao sasa.... Jestina nimempa pole ya kipigo we kaniblokia mbali kule.. kile kipigo kapewa kwa mengi maana watu walikua washampangia Diaspora Blog

hahaha kakublock kisa umetoa pole mmmnh walikuwa wamempania muda sana na ile clip ikawa sababu
 
Hahahahah sipati picha

Sijui walikuwa wanamtia na masingi???

Halafu alivyo hodari wa kuposti habari, hiyo hajaipost....hata polisi nahisi hajaenda


Hiko ki jestina ndo maana hakinenepi, bora walivyompa kichapo, ila nyie watu wabaya, sasa wembamba ule sijui watakuwa wamempigia wapi, kwel watu wamepinda aiseh
 
hivi huyu jestina anaundugu na mama diamond? maana kutwa huwa namuona naye huko insta.
 
Haupo mwenywe,

ngoja niwaeleweshe kuna mmbea na mfitini anapga box mamtoni huko sns blog pia
kina kajala na wenzie walikua wanamteta wema na ye sijui alikuwepo kawarekodi then yale mazungumzo kayarusha mtandaoni ndo wale rafiki za kajala wamemvizia wamempa kichapo cha mbwa mwizi
 
Hahahaaaa,Jestina bibi bomba kapatikana...looh!kimama kimbea hiki...
 
Ndo madhara ya kutumia ID za ukweli kwenye mitandao halafu unaanza kujihusisha na bifu.

Na kama kupigana ndo huwezi basi walau usijihusishe na bifu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…