Blogger apewa kipondo

Blogger apewa kipondo

Nyasamaki

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,055
Reaction score
595

Yule Betina wa UK alieeolewa mke wa 3 amekula kipondo cha maana juzi baada ya kugundulika kuwa yeye ndo aliewa rekodi kina Kajala wakimsema Wema na kisha kumrushia Dougiemasta14 hiyo clip.

Sasa unaambiwa watoto wa uswazi walikuwa wanamfatilia sana toka aje bongo. huku na kule wakamvizia akiwa bila mama Diamond( Anajifanya Halima Kimwana na yeye kuwafwata fwata familia ya Diamond)Mnafki mkubwa , si anajifanya ana blog ya kuweka nyuuz aweke na hii .

Chezea watoto wa mbwa wewe, Kajala shoga zake ni masela wa Kinondoni aalafu analeta *****.Ilimhusu nini kuwarekodi kina Kajala? kama sio uchonganishi? Kama kujipendekeza kwa Wema ndo mpaka amrekodi kajala?

Ndo maana hanenepi kwa unafiki.Na bado mpaka tukuvunje kiuno mwaka huu. Kila ukija bongo utakuwa unapokea kipondo

Sa na wenyewe kwanini walikua wanamdiscuss mwenzao???

Mazungumzo yao sasa.... Jestina nimempa pole ya kipigo we kaniblokia mbali kule.. kile kipigo kapewa kwa mengi maana watu walikua washampangia Diaspora Blog

pole sana Jestina
 
Last edited by a moderator:
Big up jestina

Wao kilichowafanya wamama watu wazima kuacha kulea watoto na kudiscuss wenzao ni nini?

Kajala.mwenyewe mnafiki tu

Pole yake jestina

Sasa kwa hasira angerusha rekodi nzima.....

Wamemwaga ugali yeye angemwaga mboga na kuisiliba na mchanga
 
Dah,yani kila kitu mnachanganya na siasa?? Watu wazima mnachosha nyie!!!!
 
Big up jestina

Wao kilichowafanya wamama watu wazima kuacha kulea watoto na kudiscuss wenzao ni nini?

Kajala.mwenyewe mnafiki tu

Pole yake jestina

Sasa kwa hasira angerusha rekodi nzima.....

Wamemwaga ugali yeye angemwaga mboga na kuisiliba na mchanga

Hiko ki jestina ndo maana hakinenepi, bora walivyompa kichapo, ila nyie watu wabaya, sasa wembamba ule sijui watakuwa wamempigia wapi, kwel watu wamepinda aiseh
 
.Yule Betina wa UK alieeolewa mke wa 3 amekula kipondo cha maana juzi baada ya kugundulika kuwayeye ndo aliewa rekodi kina Kajala wakimsema Wema na kisha kumrushia Dougiemasta14 hiyo clip.

Sasa unaambiwa watoto wa uswazi walikuwa wanamfatilia sana toka aje bongo. huku na kule wakamvizia akiwa bila mama Diamond( Anajifanya Halima Kimwana na yeye kuwafwata fwata familia ya Diamond)
Mnafki mkubwa , si anajifanya ana blog ya kuweka nyuuz aweke na hii .

Chezea watoto wa mbwa wewe, Kajala shoga zake ni masela wa Kinondoni aalafu analeta umaku.
Ilimhusu nini kuwarekodi kina Kajala? kama sio uchonganishi? Kama kujipendekeza kwa Wema ndo mpaka amrekodi kajala?

Ndo maana hanenepi kwa unafiki.Na bado mpaka tukuvunje kiuno mwaka huu. Kila ukija bongo utakuwa unapokea kipondo

Nyasamaki haya ni maneno yako au umenukuu?
Nimepata wakati mgumu kuelewa hii habari!
Samahani lakini!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom