Blogger ni taka taka kwa WordPress

Blogger ni taka taka kwa WordPress

Kwenye SEO WordPress ni best kuliko blogger
Hapa naweza kukubaliana na wewe mkuu lakini pia naweza kukataa,

kwa maana itategemea na target yake ya traffic ipo wapi.
Kama ni mtu kutoka East Africa na ana chini ya miaka mitano na source yake ni moja ya search engine kupata traffic ni bora zaidi blogger lakini kama ni mtu ambaye yupo nchi za nje na ana more than 5yrs yes anaweza kupata seo nzuri kwa wordpress.

Yote kwa yote hii ni kama tu hajachelewesha kurenew subscription zake za hosting na seo plugins unless awe na maarifa makubwa ya web designing na Blogging management ajue kucheza vema na permalinks na tags zake...

Rakims
 
KAKA NAOMBA USHAURI MM NINA BLOG YANGU YA NEWS A MPANGO WA KWENDA WORD PRESS JE NIENDE AU NIBAKI TU HUKU
Ningeshauri ufanye kushare link tuione imekaa vipi kisha tuangalie ni namna gani tunaweza kukushauri muda mwingine kuhama kuwe kunategemea na sababu za msingi zinazokupelekea kuhama kwa maana wengi wamehama lakini baadae wakarudi...

zingatia haya:
  • Ipi sababu inayokufanya uhame?
  • Kitu gani umekosa kwenye blogger unatafuta kwenye Wp?
  • Gharama zake utamudu za kununua hosting na baadhi ya plugins?
  • Traffic yako inaathirika vipi ukihama n.k?
Rakims
 
Havina uhusiano na Mpunga. Ni sawa na useme nikijengea tanga cement au Dangote ipi nyumba itapendeza?

What matters kwa Mpunga ni Quality content and page engagement, mengine , trash.

But wordpress ina support kubwa na kufahamika, with a lot of plugins kurahisisha designing, but no uhusiano na Mpunga.
Uhusiano upo kutegemea na content alizonazo mkuu..
Mfano maintenance ya ads kwa blogger ni tofauti na maintenance ya ads kwa Wp zingatia..

Rakims
 
Clicks nyingi za Ads.
Watu wakiangalia Ads bila ku-click revenue inakua ndogo.
Ila ukiwa na visitors wanao-click Ads sana inaongeza revenue , pia unapewa Ads zenye RPM kubwa
Nyongeza ya maarifa ni kwamba azingatie pia kuomba viewers waliofunga ads waweze kufungua ili kuweza kuona tu hata hayo matangazo. Kwa maana kuna watu wamefunga ads hazionekani kwao na wengine wanatumia browser ambazo ni salama hazionyeshi ads hata ufanye nini.

Hivyo msaada wa yeye kupata pesa sio tu alenge watu wenye kubonyeza matangazo trust me asilimia 100 ya watembeleaje wenye kubonyeza matangazo ni asilimia 5 hadi 10..

Mfano kuna website yangu moja ina visitors 2,000 kwa siku lakini ukiangalia wanao view matangazo ni 350-380 yaani walioruhusu matangazo yaonekane lakini wanao click matangazo kwa siku ni 20 hadi 30 imagine?

Na hao sio wale visitors ambao kila page wanafungua inahesabu view hapana ni mtu mmoja mmoja haijarishi kafungua posts zote.
Hivyo kutafuta watu wa kufungua matangazo wengi inataka mtu mwenye views zaidi ya 20,000 na kuendelea na hao wawe ni nchi ambazo kwao sio issue kuview matangazo na hata kuclick ndio anaweza kuwa mwenye pato zuri

Rakims
 
Hivyo msaada wa yeye kupata pesa sio tu alenge watu wenye kubonyeza matangazo trust me asilimia 100 ya watembeleaje wenye kubonyeza matangazo ni asilimia 5 hadi 10..
Inategemea location ya visitors ,
Visitors wa Tanzania hawana tabia ya ku-clicks Ads may be ni kutokana na lugha : hii inashusha RPM
Ila ukiwa nchi za Afrika zenye kuongeoa kingereza , huwa zinatabia za ku-click ads sana, kwa hiyo RPM inakuwa kubwa

Unaweza ukawa na visitors wengi kwenye blog, ila ukawa una revenue ndogo. Na sababu kubwa ni visitors kuto-click Ads. Na sio content.
Kwa nini?
AdSense huwa wanacheki browser history ndipo wanampa visitors Ads. Hawa cheki content ya blog sana,

Kwa hiyo , unaweza ukawa na blog yenye visitors wachache , ila kutokana na tabia ya visitors ku-click ads RPM ikawa inapanda hadi $10 - na kwa mwezi ukajikuta una $100 kwa visitors chini ya 1000
 
Inategemea visitors ,
Visitors wa Tanzania hawana tabia ya ku-clicks Ads may be ni kutokana na lugha
Ndio kitu nilichosema kwenye quote hiyo nyingine. vile vile kuna ads zina thamani ndogo sana nimeelekeza hapo zifungwe
 
Ngoja nikuambue kitu, nina uzoefu na blogging kama 4+ years pia ni Developer, Programmer + IT Solutions....

*Wordpress ni kweli inukupa flexibuility kubwa ya plugins na themes mbali mbali... ila iko slow sana kwani ina loads macode mengi, hivyi utalazimika kupata hosting ya juu kidogo kuhandle load/traffic

Faida za wordpress over blogger
-> More plugins, flexibility and features in CMS

-> Unwz ku-customize codebase ya theme au plugins au website kiujumla

-> Pia kwa ads za adsense kuna plugins nyingi za kukusaidia kama kuweka ads sehem nzuri, kumedify code bila kuwa na skill kubwa.

Hasara za wordpress over blogger

-> It slow down website kwani ina codebase kubwa ya plugins au theme, hivyo mambo ya SEO ni bad factor kwa google, so utalazimika kuwa na hosting yenye bandwith kubwa, RAM na storage kubwa... hivyo hasara ya pesa ya renting server na SEO issues

-> Ina updates nyingi sana za plugins na themes hivyo unwz kuta website ime crash at any time kama haupo active ku-update plugins na theme... ina tatizo na mambo ya compatibilty with PHP Version unakuta plugins zingine zinta PHP version 8 ila hosting akaunti yako ni shared hivyo unapangiwa PHP Version unakuta ipo mwisho 7.4 supported, ukipugrade inagoma labda iwe dedicated which is cost

Faida za blogger over wordpress

-> High speed,
-> low codebase in general for website/blog
-> no updates since google handle all tasks
-> haina mambo mengi straight to content
-> free storage (<<20GBfor media (photo,video)

-> Ukipata mtu anyejua unapiga hela adsense vzr tu

Hasara zake za blogger over worpress

-> haina flexibility kubwa ya kuedit au cuastomize codebase ya blog/website

-> haisapoti backend languages kama PHP,Python ni JS, HTML na CSS

-> No freedom, no email server for sending to your traffics/visitors

======= final thought ====

zote ni nzuri, kulingana na mahitaji yako , mimi kama mtalaam kulingana na contents nwz sema hii ndo nzuri na hii mbaya.

0763 84 84 32, Dar es salaam, Ubungo
Mkuu mimi ninayo blogger nifundishe kujiunga na hiyo ADSENSE tafadhali saana.
 
Naombeni ushuhuda kwa wafanyakazi wa ADSENSE waliotumia hizi platform mbili WORDPRESS & BLOGGER ipi ukitumia Ina support kupata mpunga mwingi kwenye kudisplay matangazo ya adsense tu.

Habari za wakati wote waungwana , natumai wote wazima.
Blog yangu hadi leo ni zero. Yaan blogger is silly
 
Inategemea location ya visitors ,
Visitors wa Tanzania hawana tabia ya ku-clicks Ads may be ni kutokana na lugha : hii inashusha RPM
Ila ukiwa nchi za Afrika zenye kuongeoa kingereza , huwa zinatabia za ku-click ads sana, kwa hiyo RPM inakuwa kubwa

Unaweza ukawa na visitors wengi kwenye blog, ila ukawa una revenue ndogo. Na sababu kubwa ni visitors kuto-click Ads. Na sio content.
Kwa nini?
AdSense huwa wanacheki browser history ndipo wanampa visitors Ads. Hawa cheki content ya blog sana,

Kwa hiyo , unaweza ukawa na blog yenye visitors wachache , ila kutokana na tabia ya visitors ku-click ads RPM ikawa inapanda hadi $10 - na kwa mwezi ukajikuta una $100 kwa visitors chini ya 1000
Kwa kawaida rpm inatakiwa kuwa ngapi?
 
Kwa kawaida rpm inatakiwa kuwa ngapi?
1$ kwa nchi za kiwaki , wakiwa wanatabia ya ku-click Ads Basi huanzia 2$ na kuendelea

Visitors wa Marekani wakiwa wanatabia ya ku-clicks isivyo kawaida Ina enda hadi 100$
 
1$ kwa nchi za kiwaki , wakiwa wanatabia ya ku-click Ads Basi huanzia 2$ na kuendelea

Visitors wa Marekani wakiwa wanatabia ya ku-clicks isivyo kawaida Ina enda hadi 100$
Sawa na CTR inatakiwa iwe ngap mkuu
 
Nimeiona mkuu ina madhaifu mengi sana ambayo itakuwa ni Tabu kwa adsense kukubali ama kushawishika kukuwekea matangazo. Articles zako na posts zake ni za personal blog hasa ukizingatia:
  • Categories zake ziko poor navigation,
  • Blog haionekani kuwa Unique
  • Labels zake pia ni nyingi zaidi na zimezidi kiwango
  • Halafu usiweke content ambazo zinakuwa duplicate kwenye categories moja
Zaidi ya hapo orodhesha kwenye visible link iwe jirani na home page
  • contact us
  • about us
  • privacy policy
ziwepo kwenye main menu yako...
Ukikosa hizo sio rahisi kupata ruhusa ya kuwekewa matangazo kwa sasa na adsense kwa blog za kiswahili

Rakims
 
Well binafsi naweza nikakushauri kama unatumia website zaidi ya moja tumia zote mbili kwa maana kuna vitu utavikosa kwenye wordpress na utavipata kwenye Blogger..

Mathalani unataka traffic kubwa na hutaki kutumia pesa nyingi kwa kuzipata ni vema zaidi ukatumia Blogger kwa maana mfano Afrika Mashariki watumiaji wengi wa internet search engine yao pendwa ni Google hivyo Blogger ni Mali ya Google.

Hutafikia kiwango chao cha posts wanazotaka kuanza kukuwekea traffic halafu ukakosa traffic lazima watakutumia traffic ambayo ni nzuri kulingana na Articles ulizonazo..
On the other way,
WordPress hata ukisema ununue plugins ambazo ni Search Engine Optimize nzuri bado hawa wana mbinu ya kutuma fake traffic ambazo ukiziangalia utaona ni traffic zinazotoka eneo lako lengwa lakini ukweli wake utaupata kwenye adsense account.

Upande wa watu waliotembelea tovuti yako (Sio watu walioview ads zako) yaani general visitors hata wale ambao wameclick na kuondoka (Sio walioclick tangazo) utawaona kwenye adsense dashboard kuna jinsi ukiiset..

Binafsi kunakipindi nilikuwa napata visitors 1,500 kwa siku kupitia blogger lakini nilihamia na kukaa Wp kwa miaka miwili nikawa napata 500 na hapo ukumbuke mbinu zote unazohisi unazifahamu nimeshatumia..

nikaipa 2yrs ili ikae vema na google matokeo yake nikawa napata 250 traffic kwa siku na kila baada ya mwezi utakuta Plugin moja au mbili zimecrash na bado umeweka automatic updates...

Kufupisha maelezo kama unafanya tovutia kama ajira yako ya kila siku yaani kila siku lazima uingie kufuatilia tovuti yako inaendaje basi Wordpress ni chaguo lako...

Lakini kama ni mtu wa matumizi ya mara 3 kwa wiki itakusumbua tu maana WordPress ni kwa matumizi ya watu ambao blogging ni ajira yao na hawana mambo mengine yanayoweza kuwataka kwa muda sahihi..

Nadhani hadi hapo kwa uchache nitakuwa nimechangia upande wa wewe kuita moja takataka na nyingine safi..

Twende kwenye ipi Bora kwa adsense...
99% blogger ni bora zaidi kwa adsense kwa maana ipo chini ya Google na Adsense vile vile ni chini ya Google
Kama unataka kutengeneza pesa za adsense vizuri bila mashaka tumia blogger wao wananjia ya kumuwekea matangazo hata mtu mwenye tovuti ya kiswahili japo bado sio official kuna vigezo utatakiwa kufikia....

Watu wengi hukimbilia Wp kwa kudhani ni vile kuna option ya kuunga Ezoic na Media na utumbo mwingine wa matangazo kutawaletea faida kubwa lakini tuchukulie mfano watu walioikimbilia ezoic kwa wordpress ajiri ya matangazo walikutana na nini...

Articles nyingi ambazo hata ukielezea tu sehemu za uchi vyovyote vile hata dawa ya fungus sehemu za siri hutapokea tangazo lenye support ya Ezoic hata kama utoe maelezo kuwa ni dawa na sio hivyo tu hata kwa articles nyingine kama hujafikisha maneno wastani 600 hadi 800 hupati tangazo la Ezoic maana wao wanajudge moja kwa moja utapata low traffic kwenye hiyo post...

Ni mengi ya kufuatilia lakini kwa thread yako imeonyesha ni mtu mwenye kutaka ushuhuda wa blogger au Wp ipi inaingiza pesa za adsense zaidi

Tuanze na Wp:
Hii hutopata senti nyingi za adsense kwa maana ili uweze kumaintain WP lazima kwanza umwage pesa ambayo haitakurejeshea trust me utakuwa huna tofauti na watu wanaocheza vikoba hivyo Wp inamfaa mtu ambaye website yake ni ya biashara yani yenyewe inafaida ndani yake watu wakitembelea.

Tuje kwa Blogger:
Hii utapata senti nyingi za adsense lakini maarifa yake utatakiwa u block unwanted ads zote zenye kuleta matangazo yenye malipo madogo na zipo nyingi sana lakini trust me ukitenga masaa matano ya siku moja kwa ajili ya kufunga hizi basi ndani ya siku 2 zijazo utaona mabadiriko kwenye mapato yako..

Imagine wewe katika tovuti yako unaonyesha matangazo ya 0.008$ ni sawa na 0.8$ kwa watembeleaji 100 na mwenye tovuti mwenzio anaonyesha ya 0.20$ ni sawa na 20$ kwa watembeleaji 100 sasa tuangalie mara 100....... nadhani jibu utalipata..

Most of the time matangazo makubwa huonyeshwa automatic kwenye tovuti kubwa na madogo huonyeshwa kwenye tovuti ndogo sasa ili uweze kwenda nao sawa lazima uzingatie uchambuzi wa matangazo na ndio msaada wanaokupa Ezoic uchambuzi wa matangazo ya kukuonyeshea!!! kwa nini usifanye mwenyewe???

Hawana tofauti na madalali in the end wao wanapataje pesa????

Hivyo kama ni mtu kuuza bidhaa zako mwenyewe kwenye tovuti yako basi Wp itakufaa zaidi lakini kama ni mtu wa kufundisha chochote kwenye tovuti yako basi blogger is the best nayo uizingatie katika templates zake maana zingine ukiwa nazo kweli kabisa utaona blogger ni muozo.

lakini ukiwa na ambazo ni sahihi basi blogger ni almasi.. in fact nani kaanza kuuza ads?

The same goes to Wordpress ukiwa na hosting nzuri nayo jitahidi isiwe ya HTML website pia jitahidi usiwe na too much unused CSS na codes za ajabu ajabu na kama utaweza domain na hosting yako iwe kwa kampuni moja japo utatakiwa kila baada ya muda fulani ulipie which is not good kwa mtu atakae kuwa na website ambayo haimuingizii pesa zaidi ya matangazo tu...

View attachment 2582809
Sijui kama hicho kipicha kitakusaidia kupata uthibitisho unaotaka.

Rakims
Hebu nielekeze zaidi adsense Kwa upande wa blogger kwa beginner?
 
Back
Top Bottom