Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
Kipengele gani mkuu?Hebu nielekeze zaidi adsense Kwa upande wa blogger kwa beginner?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipengele gani mkuu?Hebu nielekeze zaidi adsense Kwa upande wa blogger kwa beginner?
Vitu gani vinavyoweza kufanya Google adsense waanze kuweka ads kwenye blog yako? Na idadi gani ya watu inahitajika Ili upate kibaliKipengele gani mkuu?
Hapo kwenye referral ninauzoefu napoKwa uzoefu wangu wa zaidi ya miaka mitano, nimetumia blogger na WordPress niseme tu kwamba mpunga wa Adsense haijalishi unatumia ipi kati ya hizo.
Unaweza ukapiga mpunga mwingi kwenye yoyote ile, au ukapiga mpunga mchache kwenye yoyote ile.
Labda niseme hili kwa faida ya wasomaji wote
Kupiga mpunga mwingi Adsense inategema na vitu vifuatavyo
1. Niche- kuna niche zina (cost per click) CPC,Cost per 1,000 Miles (CPM) kubwa kuliko nyingine
2. Quality of your content- hapa kuna vitu kama Length, relevancy, origality etc.
3. Traffic location- nchi kama US, UK, CANADA, NEW ZEALAND etc hizi zina high CPM na CPC. Ila kama unatraffic ya TZ au africa basi lazima uambulie visent tu.
4. Traffic source- organic traffic ina earnings nzuri kuliko referral au social traffic
5. Vitu vingine ni kama season, device used (mobile, desktop, tablet), etc.
Kwa hiyo haujalishi unatumia WordPress au Blogger hivyo vitu hapo juu ndo vitaamua unapiga mpunga kiasi gani .
Ila if you are treating your website/blog like a business basi utahitaji sana WordPress.
Ila kama unafanya blog yako kama hobby Blogger itakutosha.
Kwa swali lolote kuhuiana na Adsense, blogging au SEO karibu.
Kipindi cha nyuma ilikuwa elfu 6 kwa miezi 6 kabla hujaomba siku hizi ni miezi 6 tu mradi uwe na content ambazo hujacopy kwa watu... ukicopy popote wanadetect mapema hata paragraph 2 maana hata wenye adsense account wakidanganya basi utaona inaweka negative income..Vitu gani vinavyoweza kufanya Google adsense waanze kuweka ads kwenye blog yako? Na idadi gani ya watu inahitajika Ili upate kibali
ThibitishaKwenye SEO WordPress ni best kuliko blogger
Kipindi cha nyuma ilikuwa elfu 6 kwa miezi 6 kabla hujaomba siku hizi ni miezi 6 tu mradi uwe na content ambazo hujacopy kwa watu... ukicopy popote wanadetect mapema hata paragraph 2 maana hata wenye adsense account wakidanganya basi utaona inaweka negative income..
Uwe na unique blog na articles zake
Kila category moja iwe na post 7..
Categories zenyewe ziwe walau saba..
Post moja iwe na maneno zaidi ya 600
Blog yako isiwe kama personal blog mfano ya Herbalist Dr MziziMkavu hapo
Rakims upo Nondo sana mwalimu wa blogging endelea kutupa madini
Information technology mambo mengi hufundishwa lakini experience za kutumia kitu zaidi unavyotumia ndio zaidi unavyozidi kujua...Upo vizuri elimu ya blog umepatia wapi
Meta description ni moja kati ya vitu ambavyo ukifuata utapoteza traffic kubwa sana...Dah! Hapa sasa mnatuchanganya wataalamu. Mbona kuna mdau mmoja humu aliwahi kusema ili mtu uweze kumonetize lazima blog iwe na niche moja (Let say Politics) na unawaambia kabisa google kwenye Meta description! Hii ya kusema unaweza kuandika niche nyingi inakuaje?
Cc Rakims.
Nitaingia huko siku sio nyingi.Meta description ni moja kati ya vitu ambavyo ukifuata utapoteza traffic kubwa sana...
Jambo unalotakiwa kufahamu kila siku online vitu vinakuwa upgraded sasa ikiwa unataka uhondo wa ngoma..
Cheza mkuu
Rakims
KaribuNitaingia huko siku sio nyingi.
Angalia Hii Screenshot Ili nikujibu Kwa ufasaha na upana zaidiVitu gani vinavyoweza kufanya Google adsense waanze kuweka ads kwenye blog yako? Na idadi gani ya watu inahitajika Ili upate kibali
Endelea kutema nondoUpo vizuri elimu ya blog umepatia wapi
Bado haina ads, vipi umeapply mara ngapi?Wazee nina blog hii vipi iko poa ?African Country Tourism
Bro uliingia kweli?Nitaingia huko siku sio nyingi.
Unatumia WordPress kuuza content online? Ume I link with your bank account?Mkuu nimetumia zote blogger na WordPress na sites zote zipo hewani.
Ingawa sijawahi kufikiria kufukuzia mambo ya Adsense.
Huwa nauza huduma na kozi ninazotoa za Digital Marketing pamoja na digital products (Lesson plans, Schemes of work, Maazimio ya kazi na notes kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita) moja kwa moja kupitia hizo tovuti.
Kinachopatikana ni kikubwa kuliko kuwekeza muda na nguvu kwenye Adsense.
Kwa kulinganisha kwa uzoefu tu wa kawaida, WordPress naona ni nzuri sana hata kwa upande wa Adsense.
Ila kupata matokeo mazuri inategemeana na juhudi zako na utundu pia.
Suala la site kuwa ya WordPress au blogger sioni kama ni kigezo kikuu cha kuamua ipi inalipa upande wa Adsense.
Naingia mwaka huu.Bro uliingia kweli?