Blogger ni taka taka kwa WordPress

Kwenye SEO WordPress ni best kuliko blogger
Hapa naweza kukubaliana na wewe mkuu lakini pia naweza kukataa,

kwa maana itategemea na target yake ya traffic ipo wapi.
Kama ni mtu kutoka East Africa na ana chini ya miaka mitano na source yake ni moja ya search engine kupata traffic ni bora zaidi blogger lakini kama ni mtu ambaye yupo nchi za nje na ana more than 5yrs yes anaweza kupata seo nzuri kwa wordpress.

Yote kwa yote hii ni kama tu hajachelewesha kurenew subscription zake za hosting na seo plugins unless awe na maarifa makubwa ya web designing na Blogging management ajue kucheza vema na permalinks na tags zake...

Rakims
 
KAKA NAOMBA USHAURI MM NINA BLOG YANGU YA NEWS A MPANGO WA KWENDA WORD PRESS JE NIENDE AU NIBAKI TU HUKU
Ningeshauri ufanye kushare link tuione imekaa vipi kisha tuangalie ni namna gani tunaweza kukushauri muda mwingine kuhama kuwe kunategemea na sababu za msingi zinazokupelekea kuhama kwa maana wengi wamehama lakini baadae wakarudi...

zingatia haya:
  • Ipi sababu inayokufanya uhame?
  • Kitu gani umekosa kwenye blogger unatafuta kwenye Wp?
  • Gharama zake utamudu za kununua hosting na baadhi ya plugins?
  • Traffic yako inaathirika vipi ukihama n.k?
Rakims
 
Uhusiano upo kutegemea na content alizonazo mkuu..
Mfano maintenance ya ads kwa blogger ni tofauti na maintenance ya ads kwa Wp zingatia..

Rakims
 
Clicks nyingi za Ads.
Watu wakiangalia Ads bila ku-click revenue inakua ndogo.
Ila ukiwa na visitors wanao-click Ads sana inaongeza revenue , pia unapewa Ads zenye RPM kubwa
Nyongeza ya maarifa ni kwamba azingatie pia kuomba viewers waliofunga ads waweze kufungua ili kuweza kuona tu hata hayo matangazo. Kwa maana kuna watu wamefunga ads hazionekani kwao na wengine wanatumia browser ambazo ni salama hazionyeshi ads hata ufanye nini.

Hivyo msaada wa yeye kupata pesa sio tu alenge watu wenye kubonyeza matangazo trust me asilimia 100 ya watembeleaje wenye kubonyeza matangazo ni asilimia 5 hadi 10..

Mfano kuna website yangu moja ina visitors 2,000 kwa siku lakini ukiangalia wanao view matangazo ni 350-380 yaani walioruhusu matangazo yaonekane lakini wanao click matangazo kwa siku ni 20 hadi 30 imagine?

Na hao sio wale visitors ambao kila page wanafungua inahesabu view hapana ni mtu mmoja mmoja haijarishi kafungua posts zote.
Hivyo kutafuta watu wa kufungua matangazo wengi inataka mtu mwenye views zaidi ya 20,000 na kuendelea na hao wawe ni nchi ambazo kwao sio issue kuview matangazo na hata kuclick ndio anaweza kuwa mwenye pato zuri

Rakims
 
Hivyo msaada wa yeye kupata pesa sio tu alenge watu wenye kubonyeza matangazo trust me asilimia 100 ya watembeleaje wenye kubonyeza matangazo ni asilimia 5 hadi 10..
Inategemea location ya visitors ,
Visitors wa Tanzania hawana tabia ya ku-clicks Ads may be ni kutokana na lugha : hii inashusha RPM
Ila ukiwa nchi za Afrika zenye kuongeoa kingereza , huwa zinatabia za ku-click ads sana, kwa hiyo RPM inakuwa kubwa

Unaweza ukawa na visitors wengi kwenye blog, ila ukawa una revenue ndogo. Na sababu kubwa ni visitors kuto-click Ads. Na sio content.
Kwa nini?
AdSense huwa wanacheki browser history ndipo wanampa visitors Ads. Hawa cheki content ya blog sana,

Kwa hiyo , unaweza ukawa na blog yenye visitors wachache , ila kutokana na tabia ya visitors ku-click ads RPM ikawa inapanda hadi $10 - na kwa mwezi ukajikuta una $100 kwa visitors chini ya 1000
 
Inategemea visitors ,
Visitors wa Tanzania hawana tabia ya ku-clicks Ads may be ni kutokana na lugha
Ndio kitu nilichosema kwenye quote hiyo nyingine. vile vile kuna ads zina thamani ndogo sana nimeelekeza hapo zifungwe
 
Mkuu mimi ninayo blogger nifundishe kujiunga na hiyo ADSENSE tafadhali saana.
 
Naombeni ushuhuda kwa wafanyakazi wa ADSENSE waliotumia hizi platform mbili WORDPRESS & BLOGGER ipi ukitumia Ina support kupata mpunga mwingi kwenye kudisplay matangazo ya adsense tu.

Habari za wakati wote waungwana , natumai wote wazima.
Blog yangu hadi leo ni zero. Yaan blogger is silly
 
Kwa kawaida rpm inatakiwa kuwa ngapi?
 
Kwa kawaida rpm inatakiwa kuwa ngapi?
1$ kwa nchi za kiwaki , wakiwa wanatabia ya ku-click Ads Basi huanzia 2$ na kuendelea

Visitors wa Marekani wakiwa wanatabia ya ku-clicks isivyo kawaida Ina enda hadi 100$
 
1$ kwa nchi za kiwaki , wakiwa wanatabia ya ku-click Ads Basi huanzia 2$ na kuendelea

Visitors wa Marekani wakiwa wanatabia ya ku-clicks isivyo kawaida Ina enda hadi 100$
Sawa na CTR inatakiwa iwe ngap mkuu
 
Nimeiona mkuu ina madhaifu mengi sana ambayo itakuwa ni Tabu kwa adsense kukubali ama kushawishika kukuwekea matangazo. Articles zako na posts zake ni za personal blog hasa ukizingatia:
  • Categories zake ziko poor navigation,
  • Blog haionekani kuwa Unique
  • Labels zake pia ni nyingi zaidi na zimezidi kiwango
  • Halafu usiweke content ambazo zinakuwa duplicate kwenye categories moja
Zaidi ya hapo orodhesha kwenye visible link iwe jirani na home page
  • contact us
  • about us
  • privacy policy
ziwepo kwenye main menu yako...
Ukikosa hizo sio rahisi kupata ruhusa ya kuwekewa matangazo kwa sasa na adsense kwa blog za kiswahili

Rakims
 
Hebu nielekeze zaidi adsense Kwa upande wa blogger kwa beginner?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…