Blogger ni taka taka kwa WordPress

Hapo kwenye referral ninauzoefu napo
Earn ni ile ile ya organic , coz inahisabika kama backlink
Ila kwenye social traffic isiwe imetokana na Ads , kutokana FB Ads , Microsoft Ads zinahesabiwa kama bots kwenye AdSense , PropellerAds na Adsterra
 
Vitu gani vinavyoweza kufanya Google adsense waanze kuweka ads kwenye blog yako? Na idadi gani ya watu inahitajika Ili upate kibali
Kipindi cha nyuma ilikuwa elfu 6 kwa miezi 6 kabla hujaomba siku hizi ni miezi 6 tu mradi uwe na content ambazo hujacopy kwa watu... ukicopy popote wanadetect mapema hata paragraph 2 maana hata wenye adsense account wakidanganya basi utaona inaweka negative income..

Uwe na unique blog na articles zake
Kila category moja iwe na post 7..

Categories zenyewe ziwe walau saba..

Post moja iwe na maneno zaidi ya 600

Blog yako isiwe kama personal blog mfano ya Herbalist Dr MziziMkavu hapo

Rakims
 
Upo vizuri elimu ya blog umepatia wapi
 
Upo vizuri elimu ya blog umepatia wapi
Information technology mambo mengi hufundishwa lakini experience za kutumia kitu zaidi unavyotumia ndio zaidi unavyozidi kujua...

Rakims
 
Dah! Hapa sasa mnatuchanganya wataalamu. Mbona kuna mdau mmoja humu aliwahi kusema ili mtu uweze kumonetize lazima blog iwe na niche moja (Let say Politics) na unawaambia kabisa google kwenye Meta description! Hii ya kusema unaweza kuandika niche nyingi inakuaje?


Cc Rakims.
 
Meta description ni moja kati ya vitu ambavyo ukifuata utapoteza traffic kubwa sana...

Jambo unalotakiwa kufahamu kila siku online vitu vinakuwa upgraded sasa ikiwa unataka uhondo wa ngoma..

Cheza mkuu

Rakims
 
Meta description ni moja kati ya vitu ambavyo ukifuata utapoteza traffic kubwa sana...

Jambo unalotakiwa kufahamu kila siku online vitu vinakuwa upgraded sasa ikiwa unataka uhondo wa ngoma..

Cheza mkuu

Rakims
Nitaingia huko siku sio nyingi.
 
Unatumia WordPress kuuza content online? Ume I link with your bank account?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…