Blood group AB

Blood group AB

Wengi ni wabishi Sana Huwa hawakubali mambo kirahisi
Wana uelewa Sana kwenye mambo ya hisabati
Wanafanya vizuri Sana kwenye maths and related sciences.
Nina +AB , Mimi ni mkali wa maths tangu primary mpaka Chuo. Katika top 2 ya Darasa lazima ni wemo.

Ni kweli, huwa sikubali mambo kirahisi rahisi tu....wakati unaniambia jambo lako...na Mimi pia nakua nakusikiliza huku nalipigia mahesabu ( naconnets dots)....ukimaliza kuongea tu ...tayari nakua nshapata jibu, na hapo ndo utaniita mbishi. Poa tu!

Mimi ni muaminifu sana. Mwenye upendo na huruma sana. Sometimes watu waovu hunitake for granted....kwà kuutumia udhaifu wangu ..kunidhulumu na kunicheat.

Sipendi sana kujichanganya na watu.
 
Kwahiyo siku hizi wakali wa kutokuugua ni AB na sio O tena?
AB wana Kinga Imara lakini O hawana Kinga imara ya Kipindu pindu, tafiti inaonesha Kipindu pindu hua kinawamaliza sana group O
 
Wengi ni wabishi Sana Huwa hawakubali mambo kirahisi.

Wana uelewa Sana kwenye mambo ya hisabati. Wanafanya vizuri Sana kwenye maths and related sciences.
hii haina uhusiano wowote na ishu za blood group kama unaelewa maana ya blood group
 
Wengi ni wabishi Sana Huwa hawakubali mambo kirahisi.

Wana uelewa Sana kwenye mambo ya hisabati. Wanafanya vizuri Sana kwenye maths and related sciences.
Group o Yani hamna kitu na ni wazinzi balaa.
 
Masihara zaidi O inasemekana hawapatagi Ukimwi
Hizo ni Myth my dear hakuna kitu kama hicho, na kuna wengine walisema O ni Carrier wa hivyo virus yaan wao wanaambukiza lakini hawapati dalili wala magonjwa, sio kweli....

Halafu nyie wa group O mnasumbuliwa sana na maradhi ya Ngozi na Ulcers mna Acid nyingi na hamshauriwi kutumia vyakula vyenye uchachu.
 
Back
Top Bottom