MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Nina +AB , Mimi ni mkali wa maths tangu primary mpaka Chuo. Katika top 2 ya Darasa lazima ni wemo.Wengi ni wabishi Sana Huwa hawakubali mambo kirahisi
Wana uelewa Sana kwenye mambo ya hisabati
Wanafanya vizuri Sana kwenye maths and related sciences.
Ni kweli, huwa sikubali mambo kirahisi rahisi tu....wakati unaniambia jambo lako...na Mimi pia nakua nakusikiliza huku nalipigia mahesabu ( naconnets dots)....ukimaliza kuongea tu ...tayari nakua nshapata jibu, na hapo ndo utaniita mbishi. Poa tu!
Mimi ni muaminifu sana. Mwenye upendo na huruma sana. Sometimes watu waovu hunitake for granted....kwà kuutumia udhaifu wangu ..kunidhulumu na kunicheat.
Sipendi sana kujichanganya na watu.