Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
kwanza inavyoonekana wewe mwenyewe hauna uhakika kama mtoto ni wa huyo mume wako ndio maana umeuliza hapa,... kama ungekuwa na uhakika usingeuliza,..
pili maswali kama haya huwa yanaulizwa na wanaume mara nyingi kwa sababu kubwa ni kuwa siri ya mtoto aijuaye ni mama so siku zote wanaume tunalea tu mtoto.,..
tatu kama unakumbuka kama kuna mtu zaidi ya mumeo ulisex nae mtafute maana possibility ya huyo mtoto kuwa wa nje ni kubwa otherwise kama umekosea vipimo vya damu
nne ni impossible narudia tena haiwezekana kwa mtoto kuwa na group o na mzazi mmoja kuwa na AB na mwingine o,..
hitimisho kwa hivyo vipimo ulivyoleta huyo mtoto sio wa mumeo tafuta baba yake mwingine au karudie kupima halafu rudi hapa tena
Mwambie akapime DNA! please msibambikiane.