Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

Blood groups: Differences and conspiracy theories, ukweli ni upi?

kwanza inavyoonekana wewe mwenyewe hauna uhakika kama mtoto ni wa huyo mume wako ndio maana umeuliza hapa,... kama ungekuwa na uhakika usingeuliza,..
pili maswali kama haya huwa yanaulizwa na wanaume mara nyingi kwa sababu kubwa ni kuwa siri ya mtoto aijuaye ni mama so siku zote wanaume tunalea tu mtoto.,..
tatu kama unakumbuka kama kuna mtu zaidi ya mumeo ulisex nae mtafute maana possibility ya huyo mtoto kuwa wa nje ni kubwa otherwise kama umekosea vipimo vya damu
nne ni impossible narudia tena haiwezekana kwa mtoto kuwa na group o na mzazi mmoja kuwa na AB na mwingine o,..
hitimisho kwa hivyo vipimo ulivyoleta huyo mtoto sio wa mumeo tafuta baba yake mwingine au karudie kupima halafu rudi hapa tena

Mwambie akapime DNA! please msibambikiane.
 
soma vizur thred yangu sijasema sina uhakika kama mtoto ni wa mume wangu nikwambie tu nina uhakika kuwa mtoto ni wake ila nataka kujua kitaalam kuhusiana na blood group so kama huna lakujibu kaa kimya kuliko kutoa majibu ya hovyo.
 
jaman inaelekea somo la bilojia kwa mumeo limempita kushoto............
nitakupm kukupa possible offspring bg unazoweza kupata kwenye hiyo ndoa yako.

but usiwe na wasiwasi ni mtoto wa mumeo
 
jaman inaelekea somo la bilojia kwa mumeo limempita kushoto............
nitakupm kukupa possible offspring bg unazoweza kupata kwenye hiyo ndoa yako.

but usiwe na wasiwasi ni mtoto wa mumeo

sina wasi wasi ktk hili mkuu
 
Naona watu wanarukia mada, watu8 ameelezea CIS AB na kaweka link. Pitieni kwanza ndio mje kucomment hapa. Sio mnaleta ubishi tuu
 
kwa ufahamu wangu mdogo wakati wa chromosome crossing wewe(mke) ulidonate O baba alidonate O so inawezekana mtoto akawa O+ ila mkacheki DNA test ndo more reliable kuliko maneno ya watu . vp baba anaona alimbwelambwela au alichezewa rafu manake kukataa mtoto kisa blood group mmh
 
Mkuu watu8 nimeipitia hiyo makala, na ninaona ndio case inayoingia kwa hawa wakina dada. Vipi CIS AO, BO, na OO zinaexist.? Ama ni kwa AB pekee.?

Nadhani dada hapa amepata ahueni.

Cis AB is a rare ABO Blood group antigen genotype which is phenotypically almost the same as AB.

Kwa mantinki hiyo ni AB Blood group pekee ndio wanaoweza kuwa mutant, groups nyingine nadhani zipo safe.
 
Naona watu wanarukia mada, watu8 ameelezea CIS AB na kaweka link. Pitieni kwanza ndio mje kucomment hapa. Sio mnaleta ubishi tuu

Ni mazoea tu mkuu, raia wengi hapa jamvini wanashindwa kutwist namna yao ya kufikiri na kuifanya iwe tofauti kwa kila jukwaa.
 
soma vizur thred yangu sijasema sina uhakika kama mtoto ni wa mume wangu nikwambie tu nina uhakika kuwa mtoto ni wake ila nataka kujua kitaalam kuhusiana na blood group so kama huna lakujibu kaa kimya kuliko kutoa majibu ya hovyo.

sijatoa majibu ya hovyo hebu ngoja nikupe possible cases kuhusu magroup yenu
1-mother O,.. father AB ,..mtoto A or B na sio O
2-Assume vipimo vimekosewa vya mzazi mmoja lakini cha mtoto kipo sawa
2.1-mtoto O,..mother O ,..then baba lazima awe baba lazima awe A or B or O au impossible na sio AB
2.2-mtoto O,..father AB,..then mama mara nyingi ni impossible na rarely kupata A/B/AB kwa mama na sio O

so ukiangalia vipimo ulivyoleta wewe vinaleta maswali mengi ambayo hata mimi ningedought na kama unajiamini kapime DNA lakini nakushauri karudie upya vipimo sehemu nyingine
 
Kwa uelewa wangu najua allele B na 0 dominant anakua ni B, the same case to A.
Lakn blood group 0 siku zote inakua ni recessive ndo maana ata ukicross mtu mwenye blood group AB na group 0 the possible offspring ni blood group AO(ambae atasomeka kama blood group A) na BO(atasomeka km b/group B)
Kwa hii case yako ya b/group 0(mother) na b/group AB afu b/group 0 offspring(children) cjawahi ku-experience ktk maisha yangu yote nliosoma biology!! ndo maana wataalamu wa biology wanakua na doubt juu ya baba halisi wa mtoto..

by the way uskate tamaa kama kweli una uhakika mtt niwa mumeo, go ahead na mkapime DNA coz DNA ndo final truth..
 
Kwa maelezo ya jamvini humu dada DNA ndo suluhisho na unaweza uka- revolutionize the study of blood groups.
All the best.
 
Kama haujiamini usijaribu dna. Heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Hapo ni sawa kwasababu mtoto amechukua group o ambayo ni ya mama yake kama angechukua group AB ambayo ni ya baba mimba hiyo ingetoka ikiwa na miezi kuanzia 2 kwahiyo mtoto ni wake huyo bwana
 
Hapo ni sawa kwasababu mtoto amechukua group o ambayo ni ya mama yake kama angechukua group AB ambayo ni ya baba mimba hiyo ingetoka ikiwa na miezi kuanzia 2 kwahiyo mtoto ni wake huyo bwana

Khaaa!! really???
 
Sidhani kama ni lazima,sie home watoto wote O group la baba,mama yeye AB..
 
Sidhani Kama blood group inaweza kuthibitisha chochote hapo....nachokiona Mimi wapime DNA(deoxyribonucleic acid) hiii naamini ndio itatoa majibu yenye kuashiria uhalisia wa parents na mtoto na mtoto wao this is very useful and not blood group coz hata mimi nina group O soo mtoto anaezakua..........
 
Back
Top Bottom