FRUIT TREE
JF-Expert Member
- Jun 7, 2018
- 700
- 828
Hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi anaonyesha kuwa hana ubaya na mtu, ila kulinda mipaka yake tu.Hapa Putin ndipo ananikera, why asiwakazie na kuwaweka wazi hawa mashoga na trick zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tawi linacheka ukuni ulivyokauka,
Kwasababu anataka kujenga uchumi wa nchi yake pia! Hujiulizi kwanini Ruble inaendelea kusimama? Cos bado kuna biashara inaendelea ya Ruble hivo inawalazimu waexchange hapo ndo wanapoipa thamani EubleHapa Putin ndipo ananikera, why asiwakazie na kuwaweka wazi hawa mashoga na trick zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuja hesabu,korosho kamwaga baharini,zao la kunde kaliua,chapu akaita wafanyabiashara ikulu baada ya Mambo kwenda mramaHautakaa uwelewe mtoto wa Mama Samia,
Hii Math
Soko ndilo lililoamua,Hakuja hesabu,korosho kamwaga baharini,zao la kunde kaliua,chapu akaita wafanyabiashara ikulu baada ya Mambo kwenda mrama
Wewe bana,wanunuzi wahindi,madalali akina manji,akawavuruga..wakaacha nunua,zikatoka 2500 mpaka 250,ruzuku ya mbolea akaondoa,akaupeleka jeshi kusanya korosho..kila kitu hivyo yaaniSoko ndilo lililoamua,
Kumbuka alitoa tozo za mkulima akisafirisha tani moja,
Garama za mbolea na mbegu zilikuwa chini ,enzi zake
Ni Headless tu , ndio watakao mchukia Magufuli
WahuniSema Marekani yuko kuwaingiza chaka wengine, yeye ni mwepesi sana kujirudi akiona hali siyo.
Tayari upepo umepuliza na Sasa tumeona nyeti za kuku.Aisee niliiona hiyo jana nikasema nitaitupia humu, ila nikasahau!
Kweli kabisa.Hapa ndo ninapotofautiana na Putin. Kudadadeki ningeminya hata gunia la kilo moja ya mbolea isingetoka mpaka waondoe vikwazo vyote na kurudisha mali za Urusi walizopora.
Dah kweli aisee!Pesa haijui vita
Halafu ukumbuke Marekani kanunua hiyo mbolea kwa kutumia ruble,hivyo pia amekula matapishi yake ya vikwazo
Amebadili dola zake kwenda Ruble,kisha akaenda kulipia huduma ya kumsafirisha huyo mwana anga
Ruble imepanda na mkong'oto unaendelea
Hata hivyo kapiga Hela kwa rubble.Urusi anaonyesha kuwa hana ubaya na mtu, ila kulinda mipaka yake tu.
Ukija kiubabe anaishi na wewe hivyo hivyo, ukija kiustaarabu mnaishi nae humo humo... yeye hana makuu zaidi ya kufuta uonevu duniani.
Labda wa Africa Lyon football Club.Magufuli hakuhusudu mabeberu,Putin hahusudu mabeberu.So Magufuli alikuwa PUTIN wa afrika.
Wewe ni mtu ambaye unatazama tu lakini uwezo wa kuona hauna.Labda wa Africa Lyon football Club.