Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

Hapa Putin ndipo ananikera, why asiwakazie na kuwaweka wazi hawa mashoga na trick zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi anaonyesha kuwa hana ubaya na mtu, ila kulinda mipaka yake tu.

Ukija kiubabe anaishi na wewe hivyo hivyo, ukija kiustaarabu mnaishi nae humo humo... yeye hana makuu zaidi ya kufuta uonevu duniani.
 
Hapa Putin ndipo ananikera, why asiwakazie na kuwaweka wazi hawa mashoga na trick zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu anataka kujenga uchumi wa nchi yake pia! Hujiulizi kwanini Ruble inaendelea kusimama? Cos bado kuna biashara inaendelea ya Ruble hivo inawalazimu waexchange hapo ndo wanapoipa thamani Euble
Screenshot_2022-06-13-22-29-24-88.jpg
 
W
Soko ndilo lililoamua,
Kumbuka alitoa tozo za mkulima akisafirisha tani moja,
Garama za mbolea na mbegu zilikuwa chini ,enzi zake

Ni Headless tu , ndio watakao mchukia Magufuli
Wewe bana,wanunuzi wahindi,madalali akina manji,akawavuruga..wakaacha nunua,zikatoka 2500 mpaka 250,ruzuku ya mbolea akaondoa,akaupeleka jeshi kusanya korosho..kila kitu hivyo yaani
 
Aisee niliiona hiyo jana nikasema nitaitupia humu, ila nikasahau!
Tayari upepo umepuliza na Sasa tumeona nyeti za kuku.
Tuliambiwa miaka mingi Russia hna kitu,ni masikini.
Lakini wajanja tukikataa,kumbe tuliona mbali Sasa Leo boxer zimewavuka.
Kumbe Urusi sio TU ni matajiri Bali pia Wana tech adimu sana,wengine hawana.
Mimesoma pia hata uranium.
Russia ana muuzia uranium iloyorutubishwa kwa ajili ya umeme ndugu Marekani.
Nasikia Russia akigoma TU. Baadhi ya sehemu huko USA watawasha Koroboi aka vibatali.
 
Back
Top Bottom