Yoda badili jina unatuchanganya na
yoga mtu wa madini adhimu.
Yoda mi ninayaishi maisha ya ulaya, si kwa kusimuliwa. Hicho unachokiona ni short term strategy within hizo jurisdictions ila oversll effects is a weak EU. Na kumbuka siasa za maji taka US na vyombo vyao nao pia hufanya, usingetegemea Boris au Macron kupigiwa kura za kuondolewa uwaziri mkuu au kushindwa uchaguzi, that one was impossible kabisa kwa sababu ya repercussion ambayo ingetokea. Na ndiyo maana hata hizi nchi zinazohubiri demokrasia, they decides nani awe kiongozi kwa maslahi ya kitaifa, deep state zina mkono wake always na siyo eti votes. Kwa hiyo, issue ya energy hasa renewable energy ndicho kiini cha mgogoro, na market yake ina value kubwa sana kwa taifa litakalo weza ku supply LNG for example in Europe. US have been eyeing hiyo opportunity kwa muda mrefu na Russia kwa sababu ya abundance ya LNG alikuwa likely kuwa beneficiary. Kwa hiyo EU ikiwa tegemezi wa ernegy toka US means it’s a weak EU that can not stand out na maamuzi yake. Will always msikilia kaka US