Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

Yoda angalia kimsingi US anataka EU awe tegemezi kwake na siyo kwa Russia. EU walipitisha policy ya kwenda green by 2030 na soko hilo lilikuwa ni la M-Russia. US akaona EU itakuwa haimtegemei akaanzisha vita. EU nikuhakikishie iko dhaifu mno kwa sasa, yaani hapo wananchi wake muda wowote wanaweza kuandamana kuangusha serikali zao kwa sbaabu ya ugumu wa maisha
 
1.Nchi yoyote kuitegema nchi nyingine inayopishana mambo mengi ni tishio la usalama kwake. EU na Russia ni blocks mbili zenye tunu(values) na muono tofauti kabisa kwenye uchumi na siasa, hawahitaji kuambiwa na US kwamba ni hatari kwa kumtegemea Russia kwenye sekta muhimu.

2.US ndiye mchangiaji mkubwa pesa, silaha na wanajeshi katika NATO, ni mshirika mkubwa wa EU katika biashara, wanaendena kila kitu kisiasa na uchumi na EU katika mazingira haya akiona EU inajiweka katika mahusiano yasiyo na maslahi kwake na sehemu nyingine kwa akili za kawaida tu lazima azungumze na kueleza yasiyomridhisha.

3.Soko la kitu gani la Russia kwa EU lilokuwa lihusiane na sera ya "green"?
4. Macron ameshinda uchaguzi wa Ufaransa uvamizi wa Russia ukiwa umeanza, Boris Johnson ameshinda kura ya kutokuwa na imani naye, kitu gani unataka ukione uelewe wananchi wengi wa EU hawakubaliani na uvamizi wa Russia huko Ukraine??

Yoda badili jina unatuchanganya na yoga mtu wa madini adhimu. Yoda mi ninayaishi maisha ya ulaya, si kwa kusimuliwa. Hicho unachokiona ni short term strategy within hizo jurisdictions ila oversll effects is a weak EU. Na kumbuka siasa za maji taka US na vyombo vyao nao pia hufanya, usingetegemea Boris au Macron kupigiwa kura za kuondolewa uwaziri mkuu au kushindwa uchaguzi, that one was impossible kabisa kwa sababu ya repercussion ambayo ingetokea. Na ndiyo maana hata hizi nchi zinazohubiri demokrasia, they decides nani awe kiongozi kwa maslahi ya kitaifa, deep state zina mkono wake always na siyo eti votes. Kwa hiyo, issue ya energy ndicho kiini cha mgogoro, na market yake ina value kubwa sana kwa taifa litakalo weza ku supply LNG for example in Europe. US have been eyeing hiyo opportunity kwa muda mrefu na Russia kwa sababu ya abundance ya LNG alikuwa likely kuwa beneficiary. Kwa hiyo EU ikiwa tegemezi wa ernegy toka US means it’s a weak EU that can not stand out na maamuzi yake. Will always msikilia kaka US
 
1.Nchi yoyote kuitegema nchi nyingine inayopishana mambo mengi ni tishio la usalama kwake. EU na Russia ni blocks mbili zenye tunu(values) na muono tofauti kabisa kwenye uchumi na siasa, hawahitaji kuambiwa na US kwamba ni hatari kwa kumtegemea Russia kwenye sekta muhimu.

2.US ndiye mchangiaji mkubwa pesa, silaha na wanajeshi katika NATO, ni mshirika mkubwa wa EU katika biashara, wanaendena kila kitu kisiasa na uchumi na EU katika mazingira haya akiona EU inajiweka katika mahusiano yasiyo na maslahi kwake na sehemu nyingine kwa akili za kawaida tu lazima azungumze na kueleza yasiyomridhisha.

3.Soko la kitu gani la Russia kwa EU lilokuwa lihusiane na sera ya "green"?
4. Macron ameshinda uchaguzi wa Ufaransa uvamizi wa Russia ukiwa umeanza, Boris Johnson ameshinda kura ya kutokuwa na imani naye, kitu gani unataka ukione uelewe wananchi wengi wa EU hawakubaliani na uvamizi wa Russia huko Ukraine??
Pia wanashirikiana ktk kuiba mafuta ya Iraqi, libya, Sirya nk nk
 
LNG sio renewable.
Yoda badili jina unatuchanganya na yoga mtu wa madini adhimu. Yoda mi ninayaishi maisha ya ulaya, si kwa kusimuliwa. Hicho unachokiona ni short term strategy within hizo jurisdictions ila oversll effects is a weak EU. Na kumbuka siasa za maji taka US na vyombo vyao nao pia hufanya, usingetegemea Boris au Macron kupigiwa kura za kuondolewa uwaziri mkuu au kushindwa uchaguzi, that one was impossible kabisa kwa sababu ya repercussion ambayo ingetokea. Na ndiyo maana hata hizi nchi zinazohubiri demokrasia, they decides nani awe kiongozi kwa maslahi ya kitaifa, deep state zina mkono wake always na siyo eti votes. Kwa hiyo, issue ya energy hasa renewable energy ndicho kiini cha mgogoro, na market yake ina value kubwa sana kwa taifa litakalo weza ku supply LNG for example in Europe. US have been eyeing hiyo opportunity kwa muda mrefu na Russia kwa sababu ya abundance ya LNG alikuwa likely kuwa beneficiary. Kwa hiyo EU ikiwa tegemezi wa ernegy toka US means it’s a weak EU that can not stand out na maamuzi yake. Will always msikilia kaka US
 
Back
Top Bottom