Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachoyo hawakosagi sababuuuuShida za emergency uanze kwa kuchat mambo ya mpira? Tena usiku, uvulana huo kama sio utoto!
Mbona wewe ukiwa unanitongoza PM unaanzia mbali na story zingine?Sasa mtu unaanza kwa kuchat habari za mpira kumbe lengo ni kupiga mzinga, ni kumpuuza tu.
Sina jibu la kukupa ndugu yanguNje ya mada, kuna baadhi tulikuwa banned baada ya kutumia Gb, Fm nk, hivi bado hizo app zinaendelea ili nifanye utaratibu nirude kule maana huku hakuna radha kabisa.
Hata kama ni dharura na akikujibu baada ya siku saba bado ni "perfectly fine"?...Atanijibu kwa muda wake, which is perfectly fine.
Unahisi tatizo ni nini mkuu?Mimi yupo mtoto wa baba mkubwa wangu hajajibu blue ticks wiki ya pili sasa
Nimeacha kuchat na wengi sababu hiyo,yaani mtu anaisoma kabisa na anajua hii sms inahitaji jibu anapotezea na yupo online unamuonaKuna za ubize na za dharau pia, ila nyingi ni za dharau.
Mtu uko busy kwanini ufungue msg? Ni bora uache itiki ile ya kuonesha msg imefika vitiki viwili lakini mtu na madharau yake unakuta anafungua na hajisikii kukujibu.
Binafsi uwa najisikia vibaya, na ukiniblue tick kwangu lazima nikulipizie no matter vile utapokea
Nimeacha kuchat na wengi sababu hiyo,yaani mtu anaisoma kabisa na anajua hii sms inahitaji jibu anapotezea na yupo online unamuona
Acha kuumia kwa vitu vidogo namna hiyo wewe!
Take it easy, don't take it too seriously!
USHAURI WANGU: Hao Whatsapp kama wanaweza pale katika emoji zao waweke "quick text" ambayo mtu akibonyeza mara moja itaandika "Nimepokea ujumbe wako na nitakujibu nikipata nafasi, kwa sasa nipo busy"Kama kuna kitu muhimu sana nampigia.
Mara nyingine mtu anaweza kusoma message akataka kujibu, akatingwa na mambo mengine akasahau kujibu haraka.
Hata mimi huwa inanitokea hivyo.
Bila ya nia mbaya wala dharau.
Dharula unampigia simu.Hata kama ni dharura na akikujibu baada ya siku saba bado ni "perfectly fine"?...
Wangeweka option ya kukataa kuonesha kama umesoma au hujasoma text ingesaidia pia.USHAURI WANGU: Hao Whatsapp kama wanaweza pale katika emoji zao waweke "quick text" ambayo mtu akibonyeza mara moja itaandika "Nimepokea ujumbe wako na nitakujibu nikipata nafasi, kwa sasa nipo busy"
Unampigiaje simu wakati hauna airtime?...Dharula unampigia simu.
Hiyo option ipo mkuu.Mi nikitumiwa text naifungua,ila aliye tuma haimletei ile blue tick.Wangeweka option ya kukataa kuonesha kama umesoma au hujasoma text ingesaidia pia.
Kama walivyoweka option ya kuficha last time mtu alivyokuwa online.
Sasa mtu yupo katika mikutano yake muhimu, unataka akatishe mikutano kukujibu wewe message ya salamu Whatsapp?
Akianza kukujibu napo atapata lawama kutoka watu alio nao kwenye mkutano.
Huyu katudharau, yupo nasi hapa kwenye mkutano, lakini haweki attention hapa, anajibu messages za Whatsapp!