Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Dar ila mikoani tunatuma kwa gharama za mtejaLocation
Dar bossMnapatikana wapi
KivipiConection sio ngumu?
Huyu khumbu konda msafi kawaharibu🤣🤣Inapendeza
Cc KHUMBU
Unaunganishaje na redio ya zamaniKivipi
marekani mna tuma kwaniView attachment 1703561View attachment 1703562
Kama una radio au subwoofer ya zamani,usiichukie radio yako bali weka hiki kifaa ili uweze kutumia Bluetooth, flash na memory card kama radio za kisasa.
Sony, Aiwa, Panasonic n.k hizi radio zinapiga sana lakini kama ulinunua kitambo utakuwa unamiss flash na Bluetooth.
Subwoofer za zamani zote
Seapiano,Rissing n.k njoo upate huu mzigo
Bei ni 15000 tu,na zipo chache sana
0685008131
Ndiomare
marekani mna tuma kwani
Unachagua ww,mfumo ambao unataka upitie aidha kwa cd au tapeI
Unaunganishaje na redio ya zamani
😬🙄 Hivyo vya kuokota,vinasumbua sana. Vina mwangwi,radio inapiga kelele kama ndege inataka kupaaMkuu ukipata wateja uje nikupe kwa jumla 7000 nipo mitaa wa likoma /congo Kariakoo