INAUZWA Bluetooth Mp3 player zinauzwa hapa, badili radio yako kuwa ya kusasa zaidi

INAUZWA Bluetooth Mp3 player zinauzwa hapa, badili radio yako kuwa ya kusasa zaidi

Kama una radio au subwoofer ya zamani,usiichukie radio yako bali weka hiki kifaa ili uweze kutumia Bluetooth, flash na memory card kama radio za kisasa.

Sony, Aiwa, Panasonic n.k hizi radio zinapiga sana lakini kama ulinunua kitambo utakuwa unamiss flash na Bluetooth.

Subwoofer za zamani zote.

Seapiano,Rissing n.k njoo upate huu mzigo

Bei ni 15000 tu,na zipo chache sana
0685008131
Sasa kama Radio yangu haina tundu la kupachika hicho kidude utafanyaje?
 
Sasa kama Radio yangu haina tundu la kupachika hicho kidude utafanyaje?
Usijali hakuna kinachoshindikana,hata kwa picha juu sio kwamba hiyo radio ina tundu bali imedizainiwa vizuri tu inakuwa kama imekuja nacho.
 
IMG_20210220_102238.jpg
 
IMG_20201025_121949.jpg
aiwa yangu ya zamani muonekano wake baada ya kuiupgrade
 
Hivi vidude huwa vina equalizer yake upande wa Mp3 tofauti na ya Radio?

Sijui kama nimeeleweka.
 
Inapendeza
Cc KHUMBU
Kama una radio au subwoofer ya zamani,usiichukie radio yako bali weka hiki kifaa ili uweze kutumia Bluetooth, flash na memory card kama radio za kisasa.

Sony, Aiwa, Panasonic n.k hizi radio zinapiga sana lakini kama ulinunua kitambo utakuwa unamiss flash na Bluetooth.

Subwoofer za zamani zote.

Seapiano,Rissing n.k njoo upate huu mzigo

Bei ni 15000 tu,na zipo chache sana
0685008131
Kama ni chache kwa nini uangaike kuzitangaza
 
Ww toka unakuwa kwani huijui Pepsi au Coca-Cola? Kampuni kongwe kabisa kila mtu anazijua. Kwanini wanatumia pesa nyingi kwenye matangazo? Kwanini wanajitangaza?
Wanafanya hivyo ili uendelee kuwasikia kuwa wapo na wala hawawez sema soda zimebaki chache
 
Back
Top Bottom