INAUZWA Bluetooth Mp3 player zinauzwa hapa, badili radio yako kuwa ya kusasa zaidi

Sasa kama Radio yangu haina tundu la kupachika hicho kidude utafanyaje?
 
Sasa kama Radio yangu haina tundu la kupachika hicho kidude utafanyaje?
Usijali hakuna kinachoshindikana,hata kwa picha juu sio kwamba hiyo radio ina tundu bali imedizainiwa vizuri tu inakuwa kama imekuja nacho.
 
aiwa yangu ya zamani muonekano wake baada ya kuiupgrade
 
Hivi vidude huwa vina equalizer yake upande wa Mp3 tofauti na ya Radio?

Sijui kama nimeeleweka.
 
Inapendeza
Cc KHUMBU
Kama ni chache kwa nini uangaike kuzitangaza
 
Ww toka unakuwa kwani huijui Pepsi au Coca-Cola? Kampuni kongwe kabisa kila mtu anazijua. Kwanini wanatumia pesa nyingi kwenye matangazo? Kwanini wanajitangaza?
Wanafanya hivyo ili uendelee kuwasikia kuwa wapo na wala hawawez sema soda zimebaki chache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…