Bluetooth option katika PC

Bluetooth option katika PC

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,709
Reaction score
1,963
Wakuu PC ninayotumia ni HP 850 Elite Book

Sasa wakuu hii PC haina option ya Bluetooth,
Je?, Nawezaje kuweka hiyo Bluetooth option kwenye Hii PC

Msaada wenu wataalamu wa haya mambo
 
Kama ina vigezo vya kuwa na Bluetooth. Check driver kama zipo, kama hakuna download driver zake.
 
Link to drivers
------------------------------------
HP EliteBook 850 G1 Notebook PC Software and Driver Downloads | HP[emoji2400] Customer Support
-------------------------------------

Download then install. Hp 850 elitebooks huwa zina bluetooth hardware so ukiweka hizo drivers ita detect the hardware.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo mkuu hapo nikidownload na kufanya installation, naweza kuunganisha na Bluetooth devices kama, Radio na nk?
 
1. sio kila laptop inakuwa na built in buetooth, angalia specifications za machine yako maana hiyo ni option tu, zinaweza kuwa model moja lakini nyingine ikawa na bluetooth na nyingine haina. hii ni sawa na laptop zipo ambazo zina built in modem na nyingine hazina.

2. kama iyo chip ipo built in unaweza kutumia link umepewa hapo juu kudownload drivers yake kulingana na operating iliyo installed kwa pc yako

3. kama option moja na mbili hazijawezekana basi nunua usb dongle zinauzwa elfu kumi tu madukani

bluetooth-usb-dongle-500x500.jpg
 
View attachment 1656968
Hiki kifaa kinauzwa Bei gani?
 
Mbona nikifungua hiyo link hainiletei hivyo vitu
hapo kushoto click "+" sign ili kuangalia driver unahitaji then kulia kuna button ya download, kama umekwama weka screenshot hapa tuone inaishia wapi ili uweze kusaidiwa.

ikiwezekana pia weka screenshot ya device manager..
 
Back
Top Bottom