Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mkuu hapo nikidownload na kufanya installation, naweza kuunganisha na Bluetooth devices kama, Radio na nk?Link to drivers
------------------------------------
HP EliteBook 850 G1 Notebook PC Software and Driver Downloads | HP[emoji2400] Customer Support
-------------------------------------
Download then install. Hp 850 elitebooks huwa zina bluetooth hardware so ukiweka hizo drivers ita detect the hardware.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
NdioKwa hiyo mkuu hapo nikidownload na kufanya installation, naweza kuunganisha na Bluetooth devices kama, Radio na nk?
Hiki kifaa kinauzwa Bei gani?1. sio kila laptop inakuwa na built in buetooth, angalia specifications za machine yako maana hiyo ni option tu, zinaweza kuwa model moja lakini nyingine ikawa na bluetooth na nyingine haina. hii ni sawa na laptop zipo ambazo zina built in modem na nyingine hazina.
2. kama iyo chip ipo built in unaweza kutumia link umepewa hapo juu kudownload drivers yake kulingana na operating iliyo installed kwa pc yako
3. kama option moja na mbili hazijawezekana basi nunua usb dongle zinauzwa elfu kumi tu madukani
View attachment 1656968
umejaribu hii driver iliyowekwa na mdau hapo juu? ikigoma hiyo jaribu hiyo ya nne chini yake iliyoandikwa intel bluetooth driverDuuh, nimejaribu lakini nimeshindwa
soma hapo namba 3Hiki kifaa kinauzwa Bei gani?
Tatizo sijui /sioni sehemu ya kudownload hizo driverumejaribu hii driver iliyowekwa na mdau hapo juu? ikigoma hiyo jaribu hiyo ya nne chini yake iliyoandikwa intel bluetooth driver
View attachment 1657012
Mbona nikifungua hiyo link hainiletei hivyo vituumejaribu hii driver iliyowekwa na mdau hapo juu? ikigoma hiyo jaribu hiyo ya nne chini yake iliyoandikwa intel bluetooth driver
View attachment 1657012
hapo kushoto click "+" sign ili kuangalia driver unahitaji then kulia kuna button ya download, kama umekwama weka screenshot hapa tuone inaishia wapi ili uweze kusaidiwa.Mbona nikifungua hiyo link hainiletei hivyo vitu