Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
Samahani mkuu.... Kama nimekosea nielekeze nilipokosea kwa busara.... Lengo ni kujenga hapa sio kushindana.Eeeeh
Hakuna alichokosea... umekurupuka wewe jisikitikie na kujicheka kwa kujitia aibu
Samahani mkuu.... Kama nimekosea nielekeze nilipokosea kwa busara.... Lengo ni kujenga hapa sio kushindana.
NB. Sina timu yoyote.
Hebu soma vzuri jamaa alivyoandika..usikurupuke.
Hapa kuna kutokuelewa kueleweshwa. Usipende kutumia google transilator mkuu.... Soma principals of Spanish.Sinyora inaandikwa "Señora", na hii unamaanisha ni mwanamke na si mwanaume kama unavyotafsiri wewe. Mwanaume au Mr anaitwa "Señor", tamka Sinyor. Neno sinyorita (Señorita) linasimama badala ya msichana. Ungefanya utafiti kabla ya kutoa mapovu hapa. Mavoko yuko sahihi kabisa.
Msameeni bure ila nadhan alipaswa kuuliza kwanza kabla hajahukumuSinyora inaandikwa "Señora", na hii unamaanisha ni mwanamke na si mwanaume kama unavyotafsiri wewe. Mwanaume au Mr anaitwa "Señor", tamka Sinyor. Neno sinyorita (Señorita) linasimama badala ya msichana. Ungefanya utafiti kabla ya kutoa mapovu hapa. Mavoko yuko sahihi kabisa.
Hapa kuna kutokuelewa kueleweshwa. Usipende kutumia google transilator mkuu.... Soma principals of Spanish.
Ndo wanapendwaHivi kwa nn nyimbo zinazokosolewa ni za WCB tu, manake nyimbo ya Joh makin ft Davido kata leta, Country boy ft fa turn up na vanesa mdee kisela zote copy and paste au WCB wakikopi nongwa ili wengine wakikopi sawa.