Blunder: wimbo wa rich mavoko ft. Fid Q

Blunder: wimbo wa rich mavoko ft. Fid Q

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
2,026
Reaction score
3,107
Mimi Sijui huu wimbo ni mpya au wa zamani ila ni vyema nishauri ili kosa Kama hili lisijirudie tena. Mziki wetu unakuwa wa kimataifa kwa kasi sana. Ni vyema kuheshimu kaliba na tamaduni za mataifa mengine.

Kwenye wimbo huu rich anaonekana akimsifia binti anayemtaka lakini anatumia neno la kihispaniola "sinyora" lenye maana ya mwanaume au "mr" kwa kingereza. (Na haswa ukisikiliza verse ya mwisho). Neno sahihi ni "sinyorita" kumaanisha mwanamke.

Mnaowandikia wasanii nyimbo please fanyeni utafiti.

Ni hayo na wimbo huo hapo:

Sinyora inaandikwa "Señora", na hii inamaanisha ni mwanamke na si mwanaume kama unavyotafsiri wewe. Mwanaume au Mr anaitwa "Señor", tamka Sinyor. Neno sinyorita (Señorita) linasimama badala ya msichana. Ungefanya utafiti kabla ya kutoa mapovu hapa. Mavoko yuko sahihi kabisa.
 
Sinyora inaandikwa "Señora", na hii unamaanisha ni mwanamke na si mwanaume kama unavyotafsiri wewe. Mwanaume au Mr anaitwa "Señor", tamka Sinyor. Neno sinyorita (Señorita) linasimama badala ya msichana. Ungefanya utafiti kabla ya kutoa mapovu hapa. Mavoko yuko sahihi kabisa.
Hapa kuna kutokuelewa kueleweshwa. Usipende kutumia google transilator mkuu.... Soma principals of Spanish.
 
Msameeni bure ila nadhan alipaswa kuuliza kwanza kabla hajahukumu
 
Hata hivyo wimbo ni mbovu!!

Compare na wimbo wa "Pacha". Dogo anazidi kushuka ki muziki Daily!!

Wimbo unasikiliza mara 1 hurudii tena!!

JMP KAMATA WEZI
 
Hapa kuna kutokuelewa kueleweshwa. Usipende kutumia google transilator mkuu.... Soma principals of Spanish.

Mkuu nachapa Castellano kama nimezaliwa nayo. Nimekaa kule miaka 10. Anyway, kama ungekuwa na akili na wewe ungetumia Google translator kuliko kujitia unajua.
 
HATARI KWELIKWEL[347058"]Mimi Sijui huu wimbo ni mpya au wa zamani ila ni vyema nishauri ili kosa Kama hili lisijirudie tena. Mziki wetu unakuwa wa kimataifa kwa kasi sana. Ni vyema kuheshimu kaliba na tamaduni za mataifa mengine.

Kwenye wimbo huu rich anaonekana akimsifia binti anayemtaka lakini anatumia neno la kihispaniola "sinyora" lenye maana ya mwanaume au "mr" kwa kingereza. (Na haswa ukisikiliza verse ya mwisho). Neno sahihi ni "sinyorita" kumaanisha mwanamke.

Mnaowandikia wasanii nyimbo please fanyeni utafiti.

Ni hayo na wimbo huo hapo:

[/QUOTE]
 
Hivi kwa nn nyimbo zinazokosolewa ni za WCB tu, manake nyimbo ya Joh makin ft Davido kata leta, Country boy ft fa turn up na vanesa mdee kisela zote copy and paste au WCB wakikopi nongwa ili wengine wakikopi sawa.
 
Back
Top Bottom