Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
Mimi Sijui huu wimbo ni mpya au wa zamani ila ni vyema nishauri ili kosa Kama hili lisijirudie tena. Mziki wetu unakuwa wa kimataifa kwa kasi sana. Ni vyema kuheshimu kaliba na tamaduni za mataifa mengine.
Kwenye wimbo huu rich anaonekana akimsifia binti anayemtaka lakini anatumia neno la kihispaniola "sinyora" lenye maana ya mwanaume au "mr" kwa kingereza. (Na haswa ukisikiliza verse ya mwisho). Neno sahihi ni "sinyorita" kumaanisha mwanamke.
Mnaowandikia wasanii nyimbo please fanyeni utafiti.
Ni hayo na wimbo huo hapo: