Bluray and the Role of Preciseness/Precision in Development

Mfalme Menelik II wa Ethiopia - Hakukubali Ukoloni

 

Usomi and patriotism got nothing to do with each other,nashangazwa na jibu lako hili,ungetafuta namna nyingine ya kujibu coz point yangu ni tofauti kabisa na maelezo yako hapo juu....Umeviweka on your own perspectives at the same time una assume kwamba mimi ndivyo nilivyomaanisha,soma posting za wenzako kwa makini kabla hujajibu....History na patriotism vinahusiana vipi na hiyo elimu? maana hauko stable kwenye point yako neways....Na hayo ya Julius na hard facts ni zipi hizo?Kwani kipi nilichosema ambacho si hard fact,usijibu posting na kutwist point coz sometimes labda huelewi.
 
Wakuu 'Weusi' wa Misri ya Kale Walipokuwa Wakihudumiwa na 'Weupe'


Achane na haya mambo ya pride. Watu weusi wako wengi. Hata kusini ya India ni watu weusi na walikuwa na ustraabu wao.

Haya mambo ya kutaka mafanikio by association ni ya kipuuzi. Ndio maana kuna watu kwenye hule ukumbi wa habari mchanganyiko wanatumia ustaarabu wa Mwarabu au Muajemi kuonyesha kuwa mchango wao kama waIslamu. Na wengine watatumia maendeleo ya mzungu, kuonyesha kuwa waKristo walivyoendelea.
 

Well, since you pretend to be the custodian of knowlegde kwa kuwa- brand wenzako kwamba hawaelewi, ni vyema kukuacha ulivyo. Maana kuna wengine sisi..hatuna jadi ya kujadili personalities. I dont think its appropriate kukujibu hapa. Ila what I can tell you...usimwambie mwenzako kwamba haelewi..simply because wewe hukumuelewa alichokiandika. Humu tuko wengi hatujuani na wala hujui uelewa wangu. Kifupi hunijui.... So wewe jadili hoja. Achana na Masanja. Awe anaelewa awe haelewi, ni irrelevant kwako. Cha muhimu hapa tunajadili namna ya kupambana na umasikini wa taifa letu.

Heri ya Noel,

Masanja,
 
Wakuu 'Weusi' wa Misri ya Kale Walipokuwa Wakihudumiwa na 'Weupe'


Yaani hizo picha za kuchorwa ndio ushahidi wa "wakuu weusi wa Misri ya kale walipokuwa wakihudumiwa na weupe"? Unacheza wewe. Hebu jaribu tena
 

Kwanza unachachawa nini?Wapi nimepretend kuwa custodian wa knowledge?Ama ndio mambo ya complexes?When and where nimejadili personality?nikisema hujaelewa nimeijadili personality yako?Na unaposema achana na Masanja una maana gani?Wapi nimekufuata?Wewe si umejibu posting yangu na mimi nikakuonyesha upupu wako,sasa tatizo liko wapi?Umejibu posting yangu na ukaelezea maneno ama kuyahusisha kwa namna ambayo sikufanya,ukalinganisha usomi na uzalendo na ukaendelea kubwabwaja,sasa kosa la nani?Siyo irrelevant unapojibu posting ya mwenzako kwa namna ya ku distort meaning?
Mwisho sina haja ya kukujua,ila utapimwa na unachobandika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…