Nini chini ya jua huwa kinapatiwa?
A person doesn not become black,rather a person is born black.Julius said:I am as black as midnight! But if you think I'm not black, let me ask you this, what makes a person black?
No,uko bias kwasababu umebase on the Euro centric point of view,ungekuwa neutral usingewasifia wazungu kwa maendeleo ya mwafrika at the same time umlaumu mwafrika on everything concerning the failure of the continent...Huwa mnanishangaza sana especially wewe na Bluray,wewe ni noma kwasababu unawafagilia wazungu kwa sana tu na kuwaponda weusi.Julius said:I am not biased. I am just not politically correct. I call things as I see them.
Double standard yako ni pale unaposema waafrika wasiwablame wazungu on how the continent is shaped na wakati huo huo unasema kuwa maendeleo yetu ametokana na wao,umetoa mfano wa South Africa,kama hatutakiwi kuwablame kwa mishappenings and misfortunes,then haitakiwi tuwapraise kuwa wamtuletea maendeleo....Kufanya hivyo ndo double standard yenyewe,kama unakubali kuwa wameleta maendeleo especially SA,then kwanini ukatae kuwa hawana blame kwenye yale yaliyoharibika?Kama utawala wa kibaguzi wa SA ulikuwa mzuri kwako,na kwamba miafrika ndiyo yenye makosa kwa kuvamiwa na kutawaliwa kimabavu,then you need to revisit your understanding of History.Julius said:Double standard iko wapi katika contention yangu? How can I blame whites for the stupidity of Africans? This is the problem with Miafrika, they always like to blame whitey for misfortunes of their own doing. To me that's a major cop-out. Like I said, I'm not politically correct. If you are stupid, you are stupid. End of story.
Julius said:Hilo hitimisho lako sijui umelifikiaje lakini halitanikosesha usingizi wala kunikondesha!
Unajua kuna siku nilifanya kazi ya kuhesabu profession za marais wa Marekani. Zaidi ya 25 wamechukua sheria.
Watu waliochukua engineering, sayansi au mathematics hata watano hawafiki.
Watu wana sheria wanajua kuwa chini ya jua vitu havipatiwi.
A person doesn not become black,rather a person is born black.
No,uko bias kwasababu umebase on the Euro centric point of view,
ungekuwa neutral usingewasifia wazungu kwa maendeleo ya mwafrika at the same time umlaumu mwafrika on everything concerning the failure of the continent...
Huwa mnanishangaza sana especially wewe na Bluray,wewe ni noma kwasababu unawafagilia wazungu kwa sana tu na kuwaponda weusi.
Double standard yako ni pale unaposema waafrika wasiwablame wazungu on how the continent is shaped.
na wakati huo huo unasema kuwa maendeleo yetu ametokana na wao,umetoa mfano wa South Africa,kama hatutakiwi kuwablame kwa mishappenings and misfortunes,
then haitakiwi tuwapraise kuwa wamtuletea maendeleo....Kufanya hivyo ndo double standard yenyewe,kama unakubali kuwa wameleta maendeleo especially SA,then kwanini ukatae kuwa hawana blame kwenye yale yaliyoharibika?
Kama utawala wa kibaguzi wa SA ulikuwa mzuri kwako,na kwamba miafrika ndiyo yenye makosa kwa kuvamiwa na kutawaliwa kimabavu,then you need to revisit your understanding of History.
Hata wanafizikia wana "The Second Law of Thermodynamics" inayokataza efficiency ya 100%
Tena wana Heinzerbergs Uncertainty Principle inayosema kwamba huwezi kujua position na momentum ya particles 100% kwa wakati mmoja.
Lawyers are overrated, na mambo yao mengi wanadokoa kwenye natural science, why, they even have the concept of "natural law".
Oh man, I love this! Can I use it for my avatar?
Walks like a duck talks like a duck what the heck you think its gon b?A gadamn duck isn't it?Whats a goon to a goblin huh?lol!Julius said:Ok, so you haven't met me, I presume. Now, how come you've concluded that I am not black?
Agreeable to be disagreable.Julius said:You call it bias I call it straight talk. I agree to disagree without being disagreeable.
Wewe ndio mwenye kusema wameleta maendeleo na miafrika ndo ilivyo,imejiletea umasikini,ilijipeleka utumwani nk.Julius said:Hapo sina uhakika na unachosema. Unasema mzungu alileta maendeleo kwa mwafrika kwa kiasi flani, si ndio?
Well said,lakini sidhani kama ni source of inspiration to do better by precisely inflicting inferiority and low self esteem kwa maneno ya kuupondea uafrika moja kwa moja.Julius said:Kwa kweli siyo kwamba nawafagilia wazungu kwa sana ingawa sometimes inaweza ku come across kama hivyo. Lengo langu ni kuwa source of inspiration to do better. Ni kweli kuwa nawaponda sana Waafrika (weusi) na ukiangalia hata mimi mwenyewe najijumuisha. Ukiangalia kwa undani matatizo mengi ya Waafrika yamesababishwa na Waafrika wenyewe. Unaweza ukarudi nyuma hadi kwenye makutano kati ya Afrika na Ulaya uone mwenyewe jinsi Waafrika walivyowezesha wazungu kuwanyonya na kuwatumia.
Si unaona double standards?Kwa hiyo inabidi wairaki ndiyo walaumiwe kwa kuwakubalia wamarekani wawavamie?Julius said:That's not a double standard. We allowed them to rape us and plunder our resources. They came to us and did all that they did on our home turf. Now you tell me who's the dummy there?
Ndio nimesema soma historia vizuri,kabila la English kwanini lilitake over?Na pia unashangazwa nini?Mbona kuna watu wenye majina yenye influence za waarab waportoguese nk? Kuna waliyofanya mema na kuna waliyofanya mabaya,lakini kwasababu walikuwa wameshaambiwa na Darwin only the fitest survive basi waka take adavantage,hata vizazi vilivyopelekwa utumwani ilikuwa ni wale vijana wenye nguvu na wazee vikongwe sana na watoto wadogo ndio walichwa,sasa jamii kama hizo ilikuwa kawaida Afrika,vikongwe hao wanapokufa na kuwaacha watoto wasiojuwa cha kufanya,kizazi hicho ndio kilichoproduce kizazi ambacho kinaendelea hadi sasa....Kufuata dini na hayo mambo mengine ya majina ni mojawapo ya masharti ya kupata elimu nk,na that was under colonization sasa,soma historia vizuri ujuwe kuna tofauti kati ya kipindi cha utumwa na colonization kwa ujumla.Julius said:Kwa kiasi kikubwa hizo mishappenings na misfortunes tumeziruhusu sisi wenyewe. Sasa kwa nini niwalaumu wao? Wamekuja kwetu, wametulaghai kutokana ujinga wetu (rejea historia ya machifu waliosaini mikataba bogus n.k.), wametuletea dini na sisi tukazikubali, wametuletea majina na sisi tukaamua kuyatupa ya kwetu. Mbona wao hawakufuata dini/ imani zetu tulizokuwa nazo? Mbona wao hawakubadilisha majina yao? Kuna Miafrika kibao inatwa Bryan, Michael, Jackson, etc. Wewe umewahi kusikia mzungu anaitwa Ngasa?
Ndiyo hayo hayo ya kutokujua historia,waingereza walivamia everywhere dunia hii na influence yao iko kwa namna moja ama nyingine,na hivyo kuanza kucompare na kusema ndio waliwasomesha wapigania uhuru haina mantiki yoyote,hat kwamfano kwani MLK hakuwa na wazungu waliokuwa nyuma yake?Na kwahiyo basi tutasema wazungu hawawezi kulaumiwa kwasababu kuna waliokuwa wakimsaidia na kumsapoti MLK?Ndio maana MLK mwenyewe akasema kuwa a man is to be judged by his character and not the color of his skin,wewe kazi yako ni kugeneralize to kila siku kuwa "Miafrika ndivyo ilivyo"Julius said:Mazuri waliyoleta yana far outweigh mabaya. Nani aliwasomesha wapigania uhuru? Bila Mwingereza mngekuwa na Nyerere? Bila Mmarekani mngekuwa na Nkrumah (hata kama Nrumah alisoma kwenye HBCU)? Huyo Azikiwe alisoma wapi? Wakoloni walijenga reli, bandari, miundombinu kibao. Kwa hiyo kwa yale yaliyoharibika yaliharibika kwa sababu tuliruhusu tokea mwanzo kuwa hivyo.
Narudia tena,low self esteem si kitu chema kupalnt especially to the coming generation,ni maoni yangu tu.Julius said:Well, they came and conquered us. They conquered us because we were weak.
Hivi mnajua kuwa hata figures za bajeti ya nchi huwa zinakosewa - talk of preciseness!
Zinakosewaje? tunazosoma kwenye media huwa sio zenyewe?
Unajua kuna siku nilifanya kazi ya kuhesabu profession za marais wa Marekani. Zaidi ya 25 wamechukua sheria.
Watu waliochukua engineering, sayansi au mathematics hata watano hawafiki.
Watu wana sheria wanajua kuwa chini ya jua vitu havipatiwi.
Precision is about being as precise as it is humanly possible!
Pitia hapa http://www.lexadin.nl/wlg/legis/nofr/oeur/lxwetan.htm uone jinsi lugha ya kisheria ilivyo precise!
Pitia hapa http://www.lexadin.nl/wlg/legis/nofr/oeur/lxwetan.htm uone jinsi lugha ya kisheria ilivyo precise!
Bluray ni "The third law of Thermodynamics" ndiyo inaendana na principle of uncertainity ambapo 3rd law ya thermodynamics inasema its impossible to reach the absolute zero of temperature in a finity number of steps due to uncertainity principle ambayo inastate kuwa it is impossible to know an objects speed and location exactly at the same time...Na pia hii Heinserberg uncertainity principle ndio ilitumika kujenga hoja kuwa light ina momentum to cause microscopic objects like atom or electrons to recoil,kwa hiyo by the time the light enters our eyes the object has moved and is still moving.
You're right about the second law of dynamics and 100 percent engine eficiency,kwa kifupi inaitwa "Carnot engine" ambayo ni famous kama "Impossible engine"
Ndio maana unapaswa ujiulize kwa nini kwa mujibu wa Public Expenditure Tracking Survey (PETS) ya 2009 ni 87% tu ya fedha za Elimu zilifika mashuleni!
Sasa kina Julius na Zakumi wanauliza nini kinapatiwa chini ya jua aliloliongelea Mfalme Sulemani mwenye Hekima wakati hapo kuna 13% na sio 1.3% iliyopotea!
Precision is about being as precise as it is humanly possible!
Lugha ya sheria ingekuwa "precise" basi kungekuwa hakuna haja ya interpretation ya sheria kwa sababu kila siku nasikia wanasheria wakibishana jinsi ya kutafsiri sheria flani...