Julius said:
Ok, so you haven't met me, I presume. Now, how come you've concluded that I am not black?
Walks like a duck talks like a duck what the heck you think its gon b?A gadamn duck isn't it?Whats a goon to a goblin huh?lol!
Kwenye mijadala mingi umekuwa ukipinga moja kwa moja kuwa eti "Wazungu hawawezi kulaumiwa kwa lolote"
Julius said:
You call it bias I call it straight talk. I agree to disagree without being disagreeable.
Agreeable to be disagreable.
Julius said:
Hapo sina uhakika na unachosema. Unasema mzungu alileta maendeleo kwa mwafrika kwa kiasi flani, si ndio?
Wewe ndio mwenye kusema wameleta maendeleo na miafrika ndo ilivyo,imejiletea umasikini,ilijipeleka utumwani nk.
Julius said:
Kwa kweli siyo kwamba nawafagilia wazungu kwa sana ingawa sometimes inaweza ku come across kama hivyo. Lengo langu ni kuwa source of inspiration to do better. Ni kweli kuwa nawaponda sana Waafrika (weusi) na ukiangalia hata mimi mwenyewe najijumuisha. Ukiangalia kwa undani matatizo mengi ya Waafrika yamesababishwa na Waafrika wenyewe. Unaweza ukarudi nyuma hadi kwenye makutano kati ya Afrika na Ulaya uone mwenyewe jinsi Waafrika walivyowezesha wazungu kuwanyonya na kuwatumia.
Well said,lakini sidhani kama ni source of inspiration to do better by precisely inflicting inferiority and low self esteem kwa maneno ya kuupondea uafrika moja kwa moja.
Julius said:
That's not a double standard. We allowed them to rape us and plunder our resources. They came to us and did all that they did on our home turf. Now you tell me who's the dummy there?
Si unaona double standards?Kwa hiyo inabidi wairaki ndiyo walaumiwe kwa kuwakubalia wamarekani wawavamie?
Julius said:
Kwa kiasi kikubwa hizo mishappenings na misfortunes tumeziruhusu sisi wenyewe. Sasa kwa nini niwalaumu wao? Wamekuja kwetu, wametulaghai kutokana ujinga wetu (rejea historia ya machifu waliosaini mikataba bogus n.k.), wametuletea dini na sisi tukazikubali, wametuletea majina na sisi tukaamua kuyatupa ya kwetu. Mbona wao hawakufuata dini/ imani zetu tulizokuwa nazo? Mbona wao hawakubadilisha majina yao? Kuna Miafrika kibao inatwa Bryan, Michael, Jackson, etc. Wewe umewahi kusikia mzungu anaitwa Ngasa?
Ndio nimesema soma historia vizuri,kabila la English kwanini lilitake over?Na pia unashangazwa nini?Mbona kuna watu wenye majina yenye influence za waarab waportoguese nk? Kuna waliyofanya mema na kuna waliyofanya mabaya,lakini kwasababu walikuwa wameshaambiwa na Darwin only the fitest survive basi waka take adavantage,hata vizazi vilivyopelekwa utumwani ilikuwa ni wale vijana wenye nguvu na wazee vikongwe sana na watoto wadogo ndio walichwa,sasa jamii kama hizo ilikuwa kawaida Afrika,vikongwe hao wanapokufa na kuwaacha watoto wasiojuwa cha kufanya,kizazi hicho ndio kilichoproduce kizazi ambacho kinaendelea hadi sasa....Kufuata dini na hayo mambo mengine ya majina ni mojawapo ya masharti ya kupata elimu nk,na that was under colonization sasa,soma historia vizuri ujuwe kuna tofauti kati ya kipindi cha utumwa na colonization kwa ujumla.
Julius said:
Mazuri waliyoleta yana far outweigh mabaya. Nani aliwasomesha wapigania uhuru? Bila Mwingereza mngekuwa na Nyerere? Bila Mmarekani mngekuwa na Nkrumah (hata kama Nrumah alisoma kwenye HBCU)? Huyo Azikiwe alisoma wapi? Wakoloni walijenga reli, bandari, miundombinu kibao. Kwa hiyo kwa yale yaliyoharibika yaliharibika kwa sababu tuliruhusu tokea mwanzo kuwa hivyo.
Ndiyo hayo hayo ya kutokujua historia,waingereza walivamia everywhere dunia hii na influence yao iko kwa namna moja ama nyingine,na hivyo kuanza kucompare na kusema ndio waliwasomesha wapigania uhuru haina mantiki yoyote,hat kwamfano kwani MLK hakuwa na wazungu waliokuwa nyuma yake?Na kwahiyo basi tutasema wazungu hawawezi kulaumiwa kwasababu kuna waliokuwa wakimsaidia na kumsapoti MLK?Ndio maana MLK mwenyewe akasema kuwa a man is to be judged by his character and not the color of his skin,wewe kazi yako ni kugeneralize to kila siku kuwa "Miafrika ndivyo ilivyo"
Narudia pia soma historia vizuri hiyo miundo mbinu hawakujengewa hiyo miafrika kama unadhani,shughuli ni punda afe mzigo ufike.
Julius said:
Well, they came and conquered us. They conquered us because we were weak.
Narudia tena,low self esteem si kitu chema kupalnt especially to the coming generation,ni maoni yangu tu.