Bluray and the Role of Preciseness/Precision in Development

Hapo chini ni bandiko lako na nilidhani umeconnect issue hizo mbili kutokana na kiunganishi "tena"





Hiyo tena ina transition kati ya sababu mbili tofauti, haimaanishi kwamba sababu mbili hizi zinaungana.

Hata wanafizikia wana "The Second Law of Thermodynamics" inayokataza efficiency ya 100%

Tena wana Heinzerbergs Uncertainty Principle inayosema kwamba huwezi kujua position na momentum ya particles 100% kwa wakati mmoja.

Nikikwambia, nilivaa shati jekundu, tena nikaenda mpirani, haimaanishi kwamba kwenda mpirani kumetokana au kuna uhusiano na shati jekundu. nimekwambia tu kwamba nimevaa shati jekundu na tena nikaenda mpirani.




Nimewafuatilia seriously kina Galileo, Copernicus,Maxwell, Newton Heisenberg, Pauli, Bohr, Einstein, Rutherford, Hawkings, Green, Penrose etc since at least 1990.

Kukuuliza ujieleze haina maana kwamba sifahamu, nilitaka kuona unavyoelezea.

A more legitimate and comprehensive case could have been made by using the concept of entropy in place of Heisenberg's uncertainty principle.
 

Ndiyo maana nikakwambia hiyo iko in relation to quantum phyisics,na sio clasicall,concept ya entropy iko applied kwenye efficiency of carnot engine,na Heisenberg uncertainity principle ni kwa quantum mechanics,concept ya uncertainity iko applied in both classical and quantum pyhsics.
 
Do you trust the preciseness of Miafrika Ndivyo Ilivyo's common sense?

Most times I don't but in some cases I do.

For something as simple as this (in that picture) all you need is an ounce of it (common sense) to figure out what those pupils are up to
 
Most times I don't but in some cases I do.

For something as simple as this (in that picture) all you need is an ounce of it (common sense) to figure out what those pupils are up to

'most' and 'some' are not precise enough
 

Aliyekwambia kwamba entropy ni classical concept ni nani?

Entropy ina cut through, kuanzia quantum physics mpaka cosmology na cosmogony, ndiyo maana entropy ni fundamental katika physics. Ukisoma jinsi Einsterin alivyopata shida ku reconcile relativity na quantum physics unsuccessfully mpaka anakufa, ukisoma String Theory na jitihada za kutafuta a Grand Unified Theory" na matatizo yake utaona kwamba entropy iko underlying kila kitu.

Ndiyo maana nashangaa unavyosema entropy ni a classical concept wakati hata hiyo Uncertainty principle ni a product of entropy.Mimi napenda kwenda deep kwenye vyanzo kabisa vya hivi vitu, haitoshi kusema tu kuna uncertainty principle inayokataza absolute zero, au inayokataza tusijue momentum na position ya particles.

Swali linabakia, uncertainty principle hii inaletwa na nini?

Jibu, entropy.

Ndiyo maana nikakwambia kwamba, jibu lako lingeweza kuwa comprehensive zaidi na lika address mambo ina a more fundamental way kama ungeongelea entropy instead of Heisenberg's Uncertainty Principle.

You got it backwards, entropy si zao la Uncertainty Principle, Uncertainty Principle ni zao la entropy.
 
Not enough precise per whose/ what standards? Ever heard of the term 'grey area'?

per universal standard

p.s. for the definition of universal and its precision see my previous posts
 


BluRay:

Hili topiki ya madeni na bajeti ni nzuri na sina utaalamu nayo. Lakini tunaweza kuongea kwa kuelimishana.

Kwa kawaida unapokwenda kukopa unachatakiwa ni kumshawishi anayekopesha kuwa unayo potential or ability to pay back the money. Na unapokuwa huna potential or ability basi angalau uwe na dhamana.

Hivyo kama unafanya bajeti kabla ya mkopo, nia ni kupata estimations tu na sio jinsi unakavyolipa.

Kuhusu watanzania kuwa na servicing fees za ajabu, hapo ni suala jingine. Kwanza potential zetu ni unrealiable. Pili, hatuna wataalamu katika mambo ya finance. Tatu tunashindwa kutofautisha mikopo na zawadi.

Nne na ambacho ni muhimu sana, mikopo hipo kwenye debt-based financial system. Watanzania wengi wamezoea cash-based financial system. Mtanzania akipa mkopo anasahau kuwa amepata minus katika account yake. Atatumia mkopo kama vile ni cash money.
 

Nimefanya hivyo vitu. Lakini kutokana na complexity ya mambo yalivyo sasa imenilazimu kuwa- pragmatic.
 

1. By definition all budgets are estimates kwa hiyo hapo nilipo bold hapa make sense.

Huko kwingine tunaweza kuandika PhD thesis.
 
a grey area is a fodder for corruption, it thrives in imprecise societies

You made mention of imprecise societies

Name three precise societies

I asked you to name three precise societies. My logic here was that if there are imprecise societies, then there must also be precise socities.

there u go again in praise of mizungu societies

Nowhere did I praise let alone mention mizungu in what I wrote. Now can you name three of each (precise and imprecise societies)?
 
1. By definition all budgets are estimates kwa hiyo hapo nilipo bold hapa make sense.

Huko kwingine tunaweza kuandika PhD thesis.


Ukisema kuwa all budgets are estimates unakuwa short. Kwa sababu budget nayo inaweza kuwa estimated au real.
 

I anticipated your response to my answer to your question so I pick a leaf from you: 'Sitaki'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…