TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,747
Kuongoza timu mpaka kufikia deni la Bilion 11 ndo usimamizi mzuri???Siasa kwenye mpira wapi na wapi? Maamzi ya kuuza hisa si yawanachama,wao BMT wanaona raha timu zetu kuburunda kila siku kwa kukosa usimamizi mzuri.