wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
lengo kubwa la serikali kuanzisha hicho chombo ni baraza la michezo tanzania .ni lengo zuri sana ila watendaji wake wanasababisha waliite bomoa michezo Tanzania nchi hii ukitaka upate tenda yoyote kwa taasisi za serikali za ujanja ujanja utaanzia kuzipata bar kwa maana hiyo majungu yote yaliingizwa kwa kiganja ya kukataa kauli za wanachama wa simba na yanga ya kuubadili mfumo wa vilabu vyao ajenda hizo zimeanzia bar kwa watu wachache ambao pengine si wanachama hai wa vilabu husika au kwa kufahamiana kutengeneza tiketi feki wakati wa mechi kubwa simba na yanga ama kati ya hizo kwa mechi za kimataifa siamini kama kiganja aliwahi kuusoma michakato ya vilabu hivyo na kuweza kuzuia namuomba awaiti wachambue utaratibu pande zote wajiridhishe waona tatizo lipo wapi je leo hii vilabu hivyo wapeleke FIFA kulalamika nani wa kumlaumu ikifikia bmt wamefanya makosa kuingilia maamuzi ya wanachama