BMT nini maana yake

BMT nini maana yake

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
lengo kubwa la serikali kuanzisha hicho chombo ni baraza la michezo tanzania .ni lengo zuri sana ila watendaji wake wanasababisha waliite bomoa michezo Tanzania nchi hii ukitaka upate tenda yoyote kwa taasisi za serikali za ujanja ujanja utaanzia kuzipata bar kwa maana hiyo majungu yote yaliingizwa kwa kiganja ya kukataa kauli za wanachama wa simba na yanga ya kuubadili mfumo wa vilabu vyao ajenda hizo zimeanzia bar kwa watu wachache ambao pengine si wanachama hai wa vilabu husika au kwa kufahamiana kutengeneza tiketi feki wakati wa mechi kubwa simba na yanga ama kati ya hizo kwa mechi za kimataifa siamini kama kiganja aliwahi kuusoma michakato ya vilabu hivyo na kuweza kuzuia namuomba awaiti wachambue utaratibu pande zote wajiridhishe waona tatizo lipo wapi je leo hii vilabu hivyo wapeleke FIFA kulalamika nani wa kumlaumu ikifikia bmt wamefanya makosa kuingilia maamuzi ya wanachama
 
Daaaah...ngoja tusubiri tuone mwisho wake..
 
wanatamka tu taratibu zifuatwe zipi hawasemi taratibu zimekiukwa 1 2 3 wanadai wabadilishe kanuni wakati wanachama wameshabadilisha
 
Sasa mbona wameongea kama vile wao ni mahakama wakati wao ni wasimamizi wa michezo tu.
 
Wanakataa mabadiliko ya hizo timu maana wanafaidika na huo mfumo wa hizo timu
 
Hawana lolote halafu walivyo wa ajabu nao ni wanachama wa hizi timu 2 wanaona zikijiendesha kwa mifumo mipya ulaji wao utakuwa umefika kikomo hivyo wameamua kutia figisu ili waendelee kunufaika na wao..
 
wanatamka tu taratibu zifuatwe zipi hawasemi taratibu zimekiukwa 1 2 3 wanadai wabadilishe kanuni wakati wanachama wameshabadilisha
BMT hawajakosea katika maelezo yao kwamfano Leo yanga yaendeshwa na katiba yake ambayo ndio muongozo shughuli zake zote za kila siku na wamiliki wa timu in. wanachama Hivyo endapo utaigeuza hio club kuwa kampuni basi ni dhahiri ile mambo ya katiba Hayata kuwepo badala yake kutakuwa na kitu kingine ambacho in Memorandum and Articles of Association hiio ndio itasimamia haki zote za wamiliki sasa sio wana hama na ulmiliki wako utategemea umewekeza kiasi gani hivyo aliewekeza fungi kubwa ndio mwenye sauti na maamuzi hivyo basis no jambo ambalo hapa kwetu ni jipya linahitaji somo
 
Back
Top Bottom