Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Si ma don ndio wana miliki ulayan carGharama za matengenezo kwa Toyota cars kwa mwaka mtu aandae walau $550 ila kwa mmiliki wa BMW aandae kati ya dollar $1000-1500 hii ni kwa mujibu wa wazoefu wa hizo gari hasa mamtoni!
Ofcourse yeah na hizo ni cost gari ikiwa mpya😅 ila hizi za old age jiandaeni na vitu vizitoSi ma don ndio wana miliki ulayan car
Maajabu ya runx ni kama haya hapaRunx ina maajabu gani?
Toyota hana luxury ya kupambana na izo, ila flagship zake ni CROWN, CAMRY na AVALON. Zote anapigwa makwaju ukija kwenye swali ya luxury na features. Ni gari ya kukutoa point A to B kwa uhakika.Hivi Luxury sedan za toyota ni zipi?
Ambazo zinaweza kuwa ligi moja na 7 series, S clas au Audi A8
Na ndo maana nkasema Crown kama Crown ni Flagship ya toyota japan. Hio ndio badge ya flagship yao. Kumbuka, inaitwa Toyota CROWN MAJESTA, sio Toyota Majesta RS. Labda wenyewe wafanye maamuzi ya kutenganisha Crown na Majesta ziwe models 2 tofautiSasa hizo 730, 740, 750, 760 si ni engine tofauti hizo mkuu vile vile kwenye crown majesta inayo compete na 7 series zipo engine tofauti i.e 2.0L, 2.5L na 3.5L hybrid vile vile kuna trim kadha wa kadha kama vile B, S, G, G Executive, RS-B, RS, and RS Advance kitu unachotakiwa kujua kila gari unayoiona i.e ya Kizungu ipo competitor wake wa kijapan
Toyota hana luxury ya kupambana na izo, ila flagship zake ni CROWN, CAMRY na AVALON. Zote anapigwa makwaju ukija kwenye swali ya luxury na features. Ni gari ya kukutoa point A to B kwa uhakika.
Luxury version ya Toyota ni Lexus..mjomba..Toyota hana luxury ya kupambana na izo, ila flagship zake ni CROWN, CAMRY na AVALON. Zote anapigwa makwaju ukija kwenye swali ya luxury na features. Ni gari ya kukutoa point A to B kwa uhakika.
Luxury version ya Toyota ni Lexus..mjomba..Toyota hana luxury ya kupambana na izo, ila flagship zake ni CROWN, CAMRY na AVALON. Zote anapigwa makwaju ukija kwenye swali ya luxury na features. Ni gari ya kukutoa point A to B kwa uhakika.
Point yako hapa sijaielewa kabisa...Na ndo maana nkasema Crown kama Crown ni Flagship ya toyota japan. Hio ndio badge ya flagship yao. Kumbuka, inaitwa Toyota CROWN MAJESTA, sio Toyota Majesta RS. Labda wenyewe wafanye maamuzi ya kutenganisha Crown na Majesta ziwe models 2 tofauti
IST ndo inawafaa first time car owners!Nunua Athlete tu, kama ni gari ya kwanza!
Hahahahah wajifunze maintanance kwa vitendoIST ndo inawafaa first time car owners!
Before 2010 ingekuwa Toyota CorollaHahahahah wajifunze maintanance kwa vitendo
Naona kama hujaelewa. Unajua kama Lexus ni brand nyingine OWNED by Toyota na sio Flagship model ya Toyota?Luxury version ya Toyota ni Lexus..mjomba..
toyota kuna Badge ya CROWN. Hii badge ndio flagship model yao. katika hio badge ndio kuna Athlete, Royal Saloon, Majesta. Na huko BMW badge yao ni 7 series. utakutana na 730 na wenzake na Mercedes nae ana S class.Point yako hapa sijaielewa kabisa...
Kipindi cha nyuma kuna toyota inaitwa president sijui kama bado zinazalishwa ila ni luxurious kama akina rolls royce.Luxury version ya Toyota ni Lexus..mjomba..
Sio Toyota Century hio?Kipindi cha nyuma kuna toyota inaitwa president sijui kama bado zinazalishwa ila ni luxurious kama akina rolls royce.
Sio Toyota Century hio?
Flagship ya Toyota kwa Japan ni Toyota Century sio Toyota Crown tuweke record sawa kwanza..Naona kama hujaelewa. Unajua kama Lexus ni brand nyingine OWNED by Toyota na sio Flagship model ya Toyota?
Flagship ya Toyota Japan brand ni Toyota Crown.
Flagship ya Lexus brand ni LS series
Huwezi kuta eti inasemwa kuwa flagship ya toyota ni lexus ls series. ni brand 2 tofauti hata kama zipo chini ya same umbrella
Sijazidharau hizo akina crown wala nini. Mi mwenyewe nnayo natumia. Niliposema ni gari ya kukutoa point A to B nikaweka neno kwa uhakika. Ofcoirse gari kama crown inabidi iwe comfy, lakini utaishindanisha na BMW kwa kitu gani ukitoa reliability?Luxury sedans za toyota huwezi fananisha na za mjerumani lakini kusema kwamba si kitu kabisa nadhani tunaangalia hizi tunazonunua huku kwa wingi. Kuna majesta, royal saloon, newer models ambazo hata bei zake huwezi kugusa.
Interior design wameimprove sana na 3GR na 2GR engines zina nguvu ya kutosha tu, wana hybrid pia (better fuel consumption
Nimedukua mahala [emoji1427]
The cabin is so well shielded that you hardly hear any engine or road noise.
The leather seat package is optionally available along with a driver support package (automatic anti-glare rearview mirror, automatic windshield wipers, etc.)
rear comfort package (rear power seats, rear accessory socket, rear center armrest, and rear side airbags
Navigation (Optional), DVD Infotainment, tyre pressure display, Keyless Smart Access, electric seats, Sunroof(optional), and active noise control
gari za kukutoa point A to B labda ni premio huko na wenzake, hizi ni comfortable japanese sedan. You get value for your money na ni gari comfortable.