BMW 3 Series vs Crown Athlete

BMW 3 Series vs Crown Athlete

Sasa hizo 730, 740, 750, 760 si ni engine tofauti hizo mkuu vile vile kwenye crown majesta inayo compete na 7 series zipo engine tofauti i.e 2.0L, 2.5L na 3.5L hybrid vile vile kuna trim kadha wa kadha kama vile B, S, G, G Executive, RS-B, RS, and RS Advance kitu unachotakiwa kujua kila gari unayoiona i.e ya Kizungu ipo competitor wake wa kijapan
Na ndo maana nkasema Crown kama Crown ni Flagship ya toyota japan. Hio ndio badge ya flagship yao. Kumbuka, inaitwa Toyota CROWN MAJESTA, sio Toyota Majesta RS. Labda wenyewe wafanye maamuzi ya kutenganisha Crown na Majesta ziwe models 2 tofauti
 
Toyota hana luxury ya kupambana na izo, ila flagship zake ni CROWN, CAMRY na AVALON. Zote anapigwa makwaju ukija kwenye swali ya luxury na features. Ni gari ya kukutoa point A to B kwa uhakika.

Luxury sedans za toyota huwezi fananisha na za mjerumani lakini kusema kwamba si kitu kabisa nadhani tunaangalia hizi tunazonunua huku kwa wingi. Kuna majesta, royal saloon, newer models ambazo hata bei zake huwezi kugusa.
Interior design wameimprove sana na 3GR na 2GR engines zina nguvu ya kutosha tu, wana hybrid pia (better fuel consumption
Nimedukua mahala [emoji1427]

The cabin is so well shielded that you hardly hear any engine or road noise.

The leather seat package is optionally available along with a driver support package (automatic anti-glare rearview mirror, automatic windshield wipers, etc.)

rear comfort package (rear power seats, rear accessory socket, rear center armrest, and rear side airbags

Navigation (Optional), DVD Infotainment, tyre pressure display, Keyless Smart Access, electric seats, Sunroof(optional), and active noise control

gari za kukutoa point A to B labda ni premio huko na wenzake, hizi ni comfortable japanese sedan. You get value for your money na ni gari comfortable.
 
Luxury version ya Toyota ni Lexus..mjomba..
Na ndo maana nkasema Crown kama Crown ni Flagship ya toyota japan. Hio ndio badge ya flagship yao. Kumbuka, inaitwa Toyota CROWN MAJESTA, sio Toyota Majesta RS. Labda wenyewe wafanye maamuzi ya kutenganisha Crown na Majesta ziwe models 2 tofauti
Point yako hapa sijaielewa kabisa...
 
Luxury version ya Toyota ni Lexus..mjomba..
Naona kama hujaelewa. Unajua kama Lexus ni brand nyingine OWNED by Toyota na sio Flagship model ya Toyota?

Flagship ya Toyota Japan brand ni Toyota Crown.
Flagship ya Lexus brand ni LS series

Huwezi kuta eti inasemwa kuwa flagship ya toyota ni lexus ls series. ni brand 2 tofauti hata kama zipo chini ya same umbrella
 
Point yako hapa sijaielewa kabisa...
toyota kuna Badge ya CROWN. Hii badge ndio flagship model yao. katika hio badge ndio kuna Athlete, Royal Saloon, Majesta. Na huko BMW badge yao ni 7 series. utakutana na 730 na wenzake na Mercedes nae ana S class.
 
Sio Toyota Century hio?
Screenshot_20220319_182106.jpg
 
Naona kama hujaelewa. Unajua kama Lexus ni brand nyingine OWNED by Toyota na sio Flagship model ya Toyota?

Flagship ya Toyota Japan brand ni Toyota Crown.
Flagship ya Lexus brand ni LS series

Huwezi kuta eti inasemwa kuwa flagship ya toyota ni lexus ls series. ni brand 2 tofauti hata kama zipo chini ya same umbrella
Flagship ya Toyota kwa Japan ni Toyota Century sio Toyota Crown tuweke record sawa kwanza..
 
Luxury sedans za toyota huwezi fananisha na za mjerumani lakini kusema kwamba si kitu kabisa nadhani tunaangalia hizi tunazonunua huku kwa wingi. Kuna majesta, royal saloon, newer models ambazo hata bei zake huwezi kugusa.
Interior design wameimprove sana na 3GR na 2GR engines zina nguvu ya kutosha tu, wana hybrid pia (better fuel consumption
Nimedukua mahala [emoji1427]

The cabin is so well shielded that you hardly hear any engine or road noise.

The leather seat package is optionally available along with a driver support package (automatic anti-glare rearview mirror, automatic windshield wipers, etc.)

rear comfort package (rear power seats, rear accessory socket, rear center armrest, and rear side airbags

Navigation (Optional), DVD Infotainment, tyre pressure display, Keyless Smart Access, electric seats, Sunroof(optional), and active noise control

gari za kukutoa point A to B labda ni premio huko na wenzake, hizi ni comfortable japanese sedan. You get value for your money na ni gari comfortable.
Sijazidharau hizo akina crown wala nini. Mi mwenyewe nnayo natumia. Niliposema ni gari ya kukutoa point A to B nikaweka neno kwa uhakika. Ofcoirse gari kama crown inabidi iwe comfy, lakini utaishindanisha na BMW kwa kitu gani ukitoa reliability?
 
Back
Top Bottom