BMW 3 Series vs Crown Athlete

Kwa kifupi Golf- Runx, Polo - Vitz, IST kuna Corolla Runx ikiwa na engine ya 1ZZ -GE hio ni hatari...
 
Sio crown zote hizo 7 series wake ni crown majesta, GRS180 mpinzani wake ni 5 series, hio 3 series ilikua ni wakina Altezza ila continuation yake ni Lexus IS250...
 
Sio crown zote hizo 7 series wake ni crown majesta, GRS180 mpinzani wake ni 5 series, hio 3 series ilikua ni wakina Altezza ila continuation yake ni Lexus IS250...
Ndugu, Crown kama crown ni flagship ya Toyota Japan, haijaalishi model ipi na 7 series ni flagship ya BMW haijaalishi ni ipi katika hio series.

Kwenye Crown unakutana na Athelete, Royal Saloon na Majesta, kwenye Bimmer unakutana na 730, 740, 750, 760. Toyota wao badala ya kuzipa namba kwenye same category, wamezipa majina kabisa
 

Hivi Luxury sedan za toyota ni zipi?

Ambazo zinaweza kuwa ligi moja na 7 series, S clas au Audi A8
 
Sasa hizo 730, 740, 750, 760 si ni engine tofauti hizo mkuu vile vile kwenye crown majesta inayo compete na 7 series zipo engine tofauti i.e 2.0L, 2.5L na 3.5L hybrid vile vile kuna trim kadha wa kadha kama vile B, S, G, G Executive, RS-B, RS, and RS Advance kitu unachotakiwa kujua kila gari unayoiona i.e ya Kizungu ipo competitor wake wa kijapan
 
Basi vyote vimeo tu
Hamnaga Lexus kimeo msee.

Labda iwe na factory defect iwe ina kilema flani toka kiwandani ila kwa ranking ya reliability scores Lexus ina points 4 out of 5!
BMW ina points 2.5 out of 5!

Yani ina GPA ya gentleman kabisa Lower second😅😅😅 kama division ni Four ya 28 kabisa.
 
Sio unachukua BMW imetembea 150,000km, ya mwaka 2005, uje ulinaganishe na Crown au Lexus iliyotembea 50,000km ya mwaka 2007 au 2008
Gharama za matengenezo kwa Toyota cars kwa mwaka mtu aandae walau $550 ila kwa mmiliki wa BMW aandae kati ya dollar $1000-1500 hii ni kwa mujibu wa wazoefu wa hizo gari hasa mamtoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…