Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Kwa kifupi Golf- Runx, Polo - Vitz, IST kuna Corolla Runx ikiwa na engine ya 1ZZ -GE hio ni hatari...Ndio maana nikasema ukiangalia build Quality utaona Golf ana materials nzuri zaidi ila kimsingi Class ya gari na wanunuzi ni wale wale wamelengwa!
Zote ni hatchbacks na wanunuzi ni wale wanaopenda gari ambazo hazina muundo wa Teksi! Iwe tu sporty car flani ambayo haina tako refu they did it with Runx!
Watakao admire ile build quality ya kijerumani basi watanunua VW Golf ama Audi A3 ile maisha yanakwenda. Wanaozingatia Reliability na low running costs basi wataenda na Runx!