BMW 3 Series vs Crown Athlete

BMW 3 Series vs Crown Athlete

acheni kupambanisha BMW na uchafu ๐ŸŒš๐ŸŒš๐ŸŒš... Mjereumani toka pande za Buza
When it comes to luxury and features, BMW yupo juu sana. Lakini ushawahi kujiuliza kwanini BMW zina depreciate faster sana kuliko Lexus LS?

Una spend 100,000USD kununua Bimmer mpya ikiisha warranty tu, ndio utaelewa kwanini hujui ๐Ÿ˜€ Ukiachia spea zake kuwa ghali kote duniani (sio TZ tu) labour cost yake nayo inaumiza. Unaweza ukataka kufanya replacement ya kitu ukajikuta unaanza kupangua mambo kibao kwenye engine.

Gari ukibadili battery tu, basi uifanyie programming ijue kama kuna battery mpya. Ndugu, sijatoa dola laki moja kwa kuhangaishwa na kitu simple kama icho cha kubadili battery ๐Ÿ˜€
 
Gari za mjeruman zina sifa ya kuwa over engineered kitu kinachopelekea complications kibao! Zimeundwa kwa watu wenye pesa za kuchezea kulipa mafundi na maintanance ya bei ghali!
 
Ukiwa masikini unaona matajiri wanachezea pesa.

Sawa na kusema kwanini ukanywe Serengeti Lite ya 10,000 Kempiski wakati kuna ya 1,500 kwenye grocery ya jirani. Na utility ni ileile.
 
Matajiri in real sense hawafanyi spending za kijinga kama maskini! Maskini wapenda show off ndio mnapenda complications ili muonekane mna hela!

Tajiri always wanafanyaga rational decisions hasa kwenye financial aspects! Huwezi mkuta bill gates anabadili magari kama simu japo pesa anayo ila anatembelea ka porsche kwa mwaka 70 huko!

Wako makini na value of what they pay for! Kulipia bia 10000 kempinski ni maamuzi ila yaweza kuwa maamuzi ya kipuuzi in the eyes of economy!
 
When it comes to luxury and features, BMW yupo juu sana. Lakini ushawahi kujiuliza kwanini BMW zina depreciate faster sana kuliko Lexus LS?

Una spend 100,000USD kununua Bimmer mpya ikiisha warranty tu, ndio utaelewa kwanini hujui ๐Ÿ˜€ Ukiachia spea zake kuwa ghali kote duniani (sio TZ tu) labour cost yake nayo inaumiza. Unaweza ukataka kufanya replacement ya kitu ukajikuta unaanza kupangua mambo kibao kwenye engine.

Gari ukibadili battery tu, basi uifanyie programming ijue kama kuna battery mpya. Ndugu, sijatoa dola laki moja kwa kuhangaishwa na kitu simple kama icho cha kubadili battery ๐Ÿ˜€
zisingekuwepo mkuu, haya yote kutishana tu
 
Matajiri in real sense hawafanyi spending za kijinga kama maskini! Maskini wapenda show off ndio mnapenda complications ili muonekane mna hela!

Tajiri always wanafanyaga rational decisions hasa kwenye financial aspects! Huwezi mkuta bill gates anabadili magari kama simu japo pesa anayo ila anatembelea ka porsche kwa mwaka 70 huko!

Wako makini na value of what they pay for! Kulipia bia 10000 kempinski ni maamuzi ila yaweza kuwa maamuzi ya kipuuzi in the eyes of economy!
Mkuu Cheki mwenye nyumba ya Bill Gates...hao mabilionea tena wanapenda Vintage luxury cars unaweza kukuta porsche ya mwaka 70 ila bei yake haigusiki, shida maskini tukinunua vitu tutataka vionekane, hao billionaires wanaweza kuwa wananunua ila hawajisumbui hata kuonyesha wamenunua.

Magari yake
 
Jamaa ana retro cars tu
 
Gari za mjeruman zina sifa ya kuwa over engineered kitu kinachopelekea complications kibao! Zimeundwa kwa watu wenye pesa za kuchezea kulipa mafundi na maintanance ya bei ghali!
Maskini wetu wa huku waliochangamka wananunua BMW ya 2004 wkt wenzao warranty ikiisha tu(4 years or 50,000 miles)
ana topup anachukua kitu kipya na Hawa ndio wenye kujua Nini maana ya kumiliki mjerumani.
 
3 series mwaka 2007 vipi? Nielewesheni.
Wenyewe wanakwambia atleast ununue ya miaka 8 nyuma i.e model ya 2013 sababu hio ya 2007 parts nyingi zinakua chakavu itakugharimu kuzibadilisha maana nyingi baada ya miaka 10 since YOM zinakua hoi.

Ila nenda kwa uwezo wako mkuu,Kama uwezo Ni wa hio ya 2007 nunua tu maana ziko nyingi huku mtaani za huko early 2000's na zinadunda Kama kawaida tu,hata hio yako ya 2007 itaonekana ni new model huko mtaani.
 
si vintage car mkuu ndio maana wengine wananunua za mwaka 70 ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
3 series mwaka 2007 vipi? Nielewesheni.
BMW 3 series za kununua sahivi ni E46 (1998-2005), E90 (2006-2012), na F30 (20013-2020), kuna G20 kama upo vizuri hii ndio latest.

Kwa model ya 2007 ni E90 ndio BMW 3 series maarufu sana Tanzania. Kama unataka chukua ni nzuri, I owned two of them, ya kwanza nikauza, nikachukua tena.

Make sure ni cc 2500 kwenda juu (6 cylinders), pia kama utaweza iwe 2009 kwenda juu (LCI/facelift) ila sio lazima iwe na Sport package.

Gari zuri kwa ufupi, ila kama ndio 1st car sikushauri.
 
Gari langu la kwanza lilikuwaga fuso
 
Wenyewe wanakwambia atleast ununue ya miaka 8 nyuma i.e model ya 2013 sababu hio ya 2007 parts nyingi zinakua chakavu itakugharimu kuzibadilisha maana nyingi baada ya miaka 10 since YOM zinakua hoi.

Ila nenda kwa uwezo wako mkuu,Kama uwezo Ni wa hio ya 2007 nunua tu maana ziko nyingi huku mtaani za huko early 2000's na zinadunda Kama kawaida tu,hata hio yako ya 2007 itaonekana ni new model huko mtaani.
Hahhahha, nimekuelewa mkuu.
 
Back
Top Bottom