When it comes to luxury and features, BMW yupo juu sana. Lakini ushawahi kujiuliza kwanini BMW zina depreciate faster sana kuliko Lexus LS?acheni kupambanisha BMW na uchafu ๐๐๐... Mjereumani toka pande za Buza
Una spend 100,000USD kununua Bimmer mpya ikiisha warranty tu, ndio utaelewa kwanini hujui ๐ Ukiachia spea zake kuwa ghali kote duniani (sio TZ tu) labour cost yake nayo inaumiza. Unaweza ukataka kufanya replacement ya kitu ukajikuta unaanza kupangua mambo kibao kwenye engine.
Gari ukibadili battery tu, basi uifanyie programming ijue kama kuna battery mpya. Ndugu, sijatoa dola laki moja kwa kuhangaishwa na kitu simple kama icho cha kubadili battery ๐