BMW 3 Series vs Crown Athlete

BMW 3 Series vs Crown Athlete

Jua kidogo tu ishaanza kupasuka pasuka.
Kwa upande wa kampuni ya Toyo gari za kuvimba nazo kwangu mm ni version za cruiser labda na fortuner na nyingine chache sana kama Tundra na wildlander.

Rav 4 masawe inadumu ila nayo waliibana mpaka ukiwa ndani utadhani upo kwenye sufuria kubwa lenye viti, plastic na sponji.

Hizi crown sijui brevis/mark X hazina maisha marefu kabisa zikishafika huku kwetu. Zipo too weak linapokuja suala la durability.

Ila hapa nazungumzia magari ambayo watanzania wengi tunanunua. Namaanisha magari ya miaka 17 mpaka 20 huko nyuma.
 
Usema kweli sijapata shida yoyote na gari ya mjerumani wala hizo wanazo ita miti ya christmass.. kama ambavyo watu wanaongea ongea kitaa
Shida huwezi kupata kama Bank kuna mzigo wa kutosha! Ila wale unga unga mwana hali ya kuteseka haikwepeki!

Taa ya abs sensor inawaka unasema haina shida, mara inaanza tyre pressure sensor! Ukija kushangaa dashboard yote inameremeta hapo ndio utajua hujui! Ukienda kusomewa mkeka sensor 10 zishakufa!
 
Kwa upande wa kampuni ya Toyo gari za kuvimba nazo kwangu mm ni version za cruiser labda na fortuner na nyingine chache sana kama Tundra na wildlander.

Rav 4 masawe inadumu ila nayo waliibana mpaka ukiwa ndani utadhani upo kwenye sufuria kubwa lenye viti, plastic na sponji.

Hizi crown sijui brevis/mark X hazina maisha marefu kabisa zikishafika huku kwetu. Zipo too weak linapokuja suala la durability.

Ila hapa nazungumzia magari ambayo watanzania wengi tunanunua. Namaanisha magari ya miaka 17 mpaka 20 huko nyuma.
Duh ukiwa na uwezo wa kununua Cruiser (sio ya miaka 15 iliopita) yenyewe inajieleza wala huna sababu ya kujitutumua. Imagine Prado diamond bila 50m hujaingiza barabarani.
 
Sidhani kama ni over engineered ila kiukweli sisi wabongo hatupendi shida.

Mfano mdogo tu... Angalia watu wanavyozichukia D4 engines.

Engine za D4 zimeshabatizwa kila aina ya majina. Lakini ni engine nzuri kama mtu anaweza kuitunza na kuipa inachotaka. Inakupa more power with low fuel consumption kwa sababu muda mwingi inarun lean.

Sasa gari nyingi za mjerumani zinatumia mfumo ambao ni exact the same na hizo zinazotumia D4.

Ni gari ngapi za Audi au VWumeziona zimeandikwa TFSI/TSI?

Ni benz ngapi umeziona zimeandikwa CGI?

Pia linaanza kwanza gari za hivo hazitaki kidebe.

Unadhani wabongo wangapi watasalimika hapo?
Hamna gari mbaya ukiwa na hela mi sina kipingamizi we nunua hata Maseratti tembelea! Ila naopingana nao ni wale ambao wanafosi kingi ilihali uchumi hafifu
 
Shida huwezi kupata kama Bank kuna mzigo wa kutosha! Ila wale unga unga mwana hali ya kuteseka haikwepeki!

Taa ya abs sensor inawaka unasema haina shida, mara inaanza tyre pressure sensor! Ukija kushangaa dashboard yote inameremeta hapo ndio utajua hujui! Ukienda kusomewa mkeka sensor 10 zishakufa!
Ndio ukilimbikiza madeni inafika mahala hukopesheki tena na unakuta huna uwezo wa kulipa ndio mwanzo wa kuwa mufirisi 😀😀😀😀 hiyo ina work na huko pia kwa mjeruma
 
Duh ukiwa na uwezo wa kununua Cruiser (sio ya miaka 15 iliopita) yenyewe inajieleza wala huna sababu ya kujitutumua. Imagine Prado diamond bila 50m hujaingiza barabarani.
Hahahahah kama mtu anaweza weka VX.R ya 2018 barabarani hamna haja ya kujieleza sana😂
 
Ndio ukilimbikiza madeni inafika mahala hukopesheki tena na unakuta huna uwezo wa kulipa ndio mwanzo wa kuwa mufirisi 😀😀😀😀 hiyo ina work na huko pia kwa mjeruma
Hahahahah sasa imagine kila sensor isipungue 200k zikiwa 10 ni bei gani?
Unakuta mtu kashazoea sensor za kunyofoa pale Tandale 40k tu
 
Shida huwezi kupata kama Bank kuna mzigo wa kutosha! Ila wale unga unga mwana hali ya kuteseka haikwepeki!

Taa ya abs sensor inawaka unasema haina shida, mara inaanza tyre pressure sensor! Ukija kushangaa dashboard yote inameremeta hapo ndio utajua hujui! Ukienda kusomewa mkeka sensor 10 zishakufa!

Hahah haya matatizo kusoma mengi kwenye diagnostic mashine huwa mara nyingi ni shida kwenye wiring...

Hasa connectors kuform carbons.

Nimeshaexperie hiyo ishu kwenye audi na VW na juzi tu nmekutana na E90 ina ishu kama hiyo....

Ni matatizo ambayo sometimes yanarekebishika kawaida tu.
 
Duh ukiwa na uwezo wa kununua Cruiser (sio ya miaka 15 iliopita) yenyewe inajieleza wala huna sababu ya kujitutumua. Imagine Prado diamond bila 50m hujaingiza barabarani.
Wabongo mna majina.

Prado diamond ndo naisikia leo.

Ipoje hiyo?
 
Back
Top Bottom