BMW 3 Series vs Crown Athlete

BMW 3 Series vs Crown Athlete

Flagship ya Toyota kwa Japan ni Toyota Century sio Toyota Crown tuweke record sawa kwanza..
Bro, Century is not even produced in mass how can you say ni flagship. Hizo ni halo cars ndugu. Gari ya kuonesha uwezo tu. unaijua Lexus LFA? Hii nayo ni halo car
 
Naona kama hujaelewa. Unajua kama Lexus ni brand nyingine OWNED by Toyota na sio Flagship model ya Toyota?

Flagship ya Toyota Japan brand ni Toyota Crown.
Flagship ya Lexus brand ni LS series

Huwezi kuta eti inasemwa kuwa flagship ya toyota ni lexus ls series. ni brand 2 tofauti hata kama zipo chini ya same umbrella
Mkuu flagship upande wa Sedans au unazungumzia flagship kwa ujumla?
 
Preventive maintenance is overated. Shocks zimechoka, ungeziwahi vipi, kupaka grisi ?

Check Engine light imewaka, inasema ni Crankshaft or Camshaft Position Sensor… Hapo ungefanyaje preventive maintenance kuzuia sensor zisibume, kuzichomoa zipumzike ? Alternator limebuma, unafanyaje kuliwahi lisibume, kulisafisha na misasa? Magari yangekuwa yanaishi milele basi
BMW wana service manual kulingana na KM za gari zilivyotembea unabadilisha vitu kabla ya huo muda hio ndo preventive maintenance
 
Sidhani, LS ni flagship kwa sedans, Lexus wana vyuma bongo havipo, kuna sport cars za Lexus zina compete kwenye speed na lambo.
Hizo ni performance cars unazozungumzia wewe, hazihesabiwi kuwa ni flagship ya brand. Kwenye huo ukanda unaozungumza, kuna Lexus LFA, hii ni Halo car, limited in numbers and out of all Lexus' hii ndio the most expensive Lexus and high performance car, but still, sio flagship. Kwa makampuni ambayo yanatengeza daily driving cars, flagship cars huwa zile ambazo zina offer the most comfort, luxury and tech features.
 
Habarini za wakati huu wakuu.. Poleni na Hongereni kwa majukumu mnayotekeleza.

Kama hapo topic inavyoejieleza ni gari ipi nzuri na imara ya kumshauri mtu kununua kati ya BMW 3 SERIES na CROWN ATHLETE.

ASANTENI
BWM 5 series ndiyo ya kuilinganisha na toyota Crown na siyo 3series
 
Back
Top Bottom